Russia ni taifa la ajabu sana

Russia ni taifa la ajabu sana

Narumu kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
1,888
Reaction score
4,489
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
 
Lini vile alisema huyo waziri? Tufahamishe source mkuu nasi tupitie tujue jinsi alivyo hovyo Mrusi.
Lakini mkuu vita ina macho? Si kuna kukosea ukapiga huko upatajapo?kusema ni kwa makusudi maana yake wanatumwa, sioni kama kuna ukweli kwenye hili, bahati mbaya hata nchi kama marekani hufanya na ndio maana raia wa marekani walikua wanaandamana kupinga matumizi ya drone kwa jeshi lao wakisema pia wao wanakuaga wahanga wa hivyo vyombo kipindi ndio vinataka kuwa official used.
 
Yan tupigane nikushinde uende kuchoma nyumba yangu we so mwanaume
Ukimshinda mtu maana yake umechukua nguvu yake kimabavu. Umemdhoofisha tayari sasa mtu huyo anachomaje nyumba yako? Means hujamshinda bado.

Warusi huwa hawa give up kirahisi 😂😂😂 ukilianzisha hata kama utamzidi ila anabadili mbinu anakuchapa kweli kweli!
 
Pro nato mlijua vita ni kama ugomvi wa ulingoni kwamba za tumboni au kung'ata haipo. Huo ni ugonvi wa kitaa mzee kila zana na sytle inatumika, kung'ata ipo, nyundo zipo, spana, sindano, nywembe, mapanga yenye kutu, bisibisi, kukamatishia mbwa hata kuloga ipo nayo cha msingi adui aende chini

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Hio ni Urban Warfare

Ni 3x complicated kuliko Battles za misituni za Rambo

Ni ngumu zaidi kama adui yako kajificha kati kati ya Raia, ndani ya hospital au mashule.

Jeshi pekee lenye uzoefu na aina hizi za Combat ni la Russia pekee.
 
Wanajificha nyuma ya raia halafu wanalalamika kwanini wanapigwa mabomu wakiwa kwenye majengo😂
 
Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Urusi hana muda mrefu anaanguka.
 
Back
Top Bottom