Kabisa mkuuMrusi kschokozwa na nani kwenye vita ya Ukraine? Si wehu wake tu eti ohh sitaki Ukraine ijiunge NATO
Ukraine nchi huru utaipangiaje mambo yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuMrusi kschokozwa na nani kwenye vita ya Ukraine? Si wehu wake tu eti ohh sitaki Ukraine ijiunge NATO
Ukraine nchi huru utaipangiaje mambo yake?
VitA hainaga mbwembwe, Wacha tu Zelensky aendelee kupata alichokitakaHawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
CCM na miwatu yake wanapenda sana hayo mambo. Mcheki Mwenezi waoMbona Tanzania ni nchi huru ila mnalazimishwa mfirane kwa misaada ya KY toka Marekani ili mpewe hela za mkopo? Mbona hilo huwa hamlikatai 😂😂😂
Kama nikweli usemayo basi RUSSIA akili kubwa sanaWarusi walipigana na waasi wa Chechniya, warusi wakapigwa sana kwenye vita ya kwanza wakakimbia. Warusi wakaenda kujipanga na kurudi kwa mara ya pili. Waliporudi kwa mara ya pili strategy yao ikawa ni kulipua mji mkuu wa Chechniya uitwao Grozny na kubomoa kila jengo na kila miundo mbinu ipatikanayo huko. Hiyo ndo ikawa njia yao ya kushinda hivyo vita.
Nahisi baada ya kupata kichapo mwanzoni mwa vita huko Ukraine, Warusi wakaamua watumie strategy kama waliyoitumia Grozny huko Chechniya
We russian, tunatengeneza silaha za kila aina na bora kabisa kuliko nchi yoyote kwenye hii dunia. Malalamiko unayoleta hapa jukwaani hauwezi kusikilizwa. Tuliiteketeza Alepo kule syria, na tunaendelea kuiteketeza Mariopul na miji mingine kwa sababu waasi au wanajeshi wanatushambulia toka ndani ya hayo majengo. Tunashambuliwa toka kwenye mashule, mahospitali na majengo mengine ya kutoa huduma za kiraia. Zele kwa mfano. Kagawa silaha kwa raia. Kuna raia hawajawahi hata kushika rungu, leo unampa AK47 Kalashnkov unataka mtu kama huyo tumfanyaje? Tunamshughulikia. Uaribifu unaofanywa na russia kwenye miji ni sehemu ya matokeo ya vita. Hiyo ipo waziHawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na
Mkuu, sijui kwa nini baadhi ya JF members wana walahumu sana Warusi bila ya kufanya walao kautafiti kidogo kujuwa kwa nini jeshi la Urusi linashambulia baadhi ya majengo, mfano: Mashule,Maternity Hospitals,Flats nk -Warusi wako justified kuchukua hatua kali baada ya kubaini kwamba jeshi la Ukraine specifically kikundi cha AZOV ambao ni ma-neo NAZI walikuwa wanajificha kwenye majengo hayo na kushambulia wanajeshi wa Urusi,wanalipuwa vifaru pamoja na APCs za Warusi kwa kutokea maghorofani wanapo ishi raia, sheria za vita zinakataza kuwatumia raia kama "human shield" lakini majeshi ya Zelensky yalikuwa yanakihuka Geneva Convention, wanawashikilia raia na kuwatumia kama human shield!!Unatafuta vita halafu unamchagulia adui silaha😂😂😂 nafikiri kichaa wa kwanza utakuwa ni wewe mkuu
Wazidi kuwaponda ponda tu MKUU kama wafanyavyo sasaMkuu, sijui kwa nini baadhi ya JF members wana walahumu sana Warusi bila ya kufanya walao kautafiti kidogo kujuwa kwa nini jeshi la Urusi linashambulia baadhi ya majengo, mfano: Mashule,Maternity Hospitals,Flats nk -Warusi wako justified kuchukua hatua kali baada ya kubaini kwamba jeshi la Ukraine specifically kikundi cha AZOV ambao ni ma-neo NAZI walikuwa wanajificha kwenye majengo hayo na kushambulia wanajeshi wa Urusi,wanalipuwa vifaru pamoja na APCs za Warusi kwa kutokea maghorofani wanapo ishi raia, sheria za vita zinakataza kuwatumia raia kama "human shield" lakini majeshi ya Zelensky yalikuwa yanakihuka Geneva Convention, wanawashikilia raia na kuwatumia kama human shield!!
Binafsi niliwahi kuona video clip ya mwandisha wa habari huko Ukraine anaitwa Bwana Patrick Lancaster ikionyesha wazi wazi wanajeshi wa Ukraine wakifyatua risasi pamoja na anti tank missiles kutokea kwenye high rise buildings zinazo kaliwa na raia ,sijui Warusi walikuwa wanatumia bunduki aina gani lakini zilikuwa very effective against snipers na wanajeshi wa kawaida walio kuwa wanajificha maghorofani, majengo ya mashule, Majengo ya Mahospitali nk wanajificha huko na kuwafyatulia risasi wanajeshi wa Urusi - sasa Dunia ilitaka Warusi wafanyeje kukomesha uwenda wazimu wa jeshi la Zelensky - ni wazi Warusi wata-flatten majengo yote yanayo tumika kuwaficha wanajeshi wa Ukraine - kumbe Warusi wafanyeje??
Kwani unauzoefu wa mapigano umewahi pigana wapi?Hawa jamaa ukipigana nao wakiona unawashinda wanakimbilia kuharibu makazi ya watu,mahosptali ,mashule,ilimrad tuu kukomoa.
Waziri wa ulinzi wa Russia kuna kipind alinukuliwa akidai wakichokozwa wako tayari kulipua satellite zote duniani ,hivi hii mijamaa kama vita hawawezi si waache kuharibu ,unajua kudili na kichaa inahitaji akili sana ,hawa jamaa ni tishio sana ,maana usishangae wakfurumisha mabomu ya nyuklia huko Ukraine ili kuwakomoa marekani na masela zake.
Na mrusi anamjulia Kwa kuwa hautakiwi kuharibu miundo mbinu ya kiraia wenyewe wamekuwa wakiwateka raia kama ngao,na kutumia majengo ya kijamii kama ngome,hata hivyo wamekuwa ama waking'olewamo au wakitiwa kiberiti humor humo🚶Wanajificha nyuma ya raia halafu wanalalamika kwanini wanapigwa mabomu wakiwa kwenye majengo😂
Mwamba anastudy tu kama kuna kikao cha kichawi kisha anabonyeza kitufe cha IGNite 🤣🤣🤣Na mrusi anamjulia Kwa kuwa hautakiwi kuharibu miundo mbinu ya kiraia wenyewe wamekuwa wakiwateka raia kama ngao,na kutumia majengo ya kijamii kama ngome,hata hivyo wamekuwa ama waking'olewamo au wakitiwa kiberiti humor humo🚶
Na nyie muache kumpangia mrusi nini Cha kuharibu. Yuko vitani anafumua na kusambaratisha kila kitu anachoona ni msaada kwa adui.Mrusi kschokozwa na nani kwenye vita ya Ukraine? Si wehu wake tu eti ohh sitaki Ukraine ijiunge NATO
Ukraine nchi huru utaipangiaje mambo yake?
Waambie bhana ile sio guerilla war. Watulie wakipate Cha moto au wakubali yaishe.Hio ni Urban Warfare
Ni 3x complicated kuliko Battles za misituni za Rambo
Ni ngumu zaidi kama adui yako kajificha kati kati ya Raia, ndani ya hospital au mashule.
Jeshi pekee lenye uzoefu na aina hizi za Combat ni la Russia pekee.