Russia ni taifa la ajabu sana

Vita unatumia silaha na kumuangamiza adui yako
Sasa ulitakaje kwa mfano
US wao huwa wanapiga mpaka mahospitali kwenye nchi wanazovamia tena kwa kuonea na kusingizia wana silaha za maangamizi kama Iraq

Angalia kama ulikuwa unafuatilia wakati wanampiga Iraq ili atoke Kuwait
Majeshi ya Iraq yaliondoka Kuwait kuelekea Iraq na walipofika nje ya miji hata border ya Abdali walikuwa hawajafika wakaanza kushambuliwa bila sababu wakiwa wamesalimu na kutoka

Ila sasa hii kali ya majeshi ya Marekani na wenzake wakaanza kushambulia madaraja ya Kuwait na mahoteli yote makubwa kama Sheraton, Hilton, meridian na mengine
Pia walishambulia mpaka miundombinu mingine ya Kuwait ambapo majeshi ya Iraq yalikuwa hayapo

Unajua Kwanini walikuwa wanafanya hivyo? Baada ya so called kuikomboa Kuwait wakashikana wazungu nani apewe tender za kuijenga upya Kuwait

Sasa hapo nani mbaya zaidi
Uvunje ili ujenge
Kwa kumalizia sio story ya kusikia nilikuwepo mwanzo mwisho na nime survive kufa mara kibao
Mrusi bado ni mwamba katika vita na ana heshimu sana sio kama kubwa jinga lile
 
Umeelewa mwenyewe kitu umeandika?🤣🤣🤣
 
E'bwana eee,kama hivyo Bora tu nikubali yaishe!.
 
Ndio wale ngumi zikikolea akipigwa kitofa analia lia eti mbona unatumia mawe😂😂😂
kwenye mechi za kirafiki hatufanyiani hivyo mkuu, tunakung'utana hasa lakini mmoja akiona Mambo yamekuwa mazito kwake ananyanyua mikono juu na ugomvi unaishia hapo.
 
Hii ndio ile ya
Ukikimbia nchale usipokimbia chale
Ukinyosha nkono nchale usiponyosha nchale
Ukijitetea nchale usipojitetea nchale
Ukilitetemeka nchale usipotetemeka nchale
Ukilia nchale ukinyamaza nchale

Viwanda vya kujificha vitaisha hawa pro nato

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Umemaliza, Mrusi anajali sana utu, hapigi hovyo hovyo.
 
Rusia nadhani wana akili ndogo sana, ndio maana hata huku wanao wasupport ni vichaa
 
Teule kwako. Ni nchi ya ajabu wana dhani kuwa superpower ni kurusha makombora, watu wana fanya kazi usiku na mchana wawe na pesa wao wana kunywa vodka na kuamka asubuhi wakiwa na ndoto za kuitawala dunia. Wata subiri sana
RUSSIA TAIFA TEULE
 
Vipi kuhusu wanaolazimisha watu kuwa mashoga ili hali seheme zingine wapo busy kufanya kazi kama china, na bado mnadhani kuwa bado ni superpower

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Teule kwako. Ni nchi ya ajabu wana dhani kuwa superpower ni kurusha makombora, watu wana fanya kazi usiku na mchana wawe na pesa wao wana kunywa vodka na kuamka asubuhi wakiwa na ndoto za kuitawala dunia. Wata subiri sana
marekan kawa supapawa kutokana na vita acha kichapo kiendelee
 
Kwan maana ya vita ni nini kwa uelewa wako? Au akili umeficha nyuma?
 
Russia gani tena si mulituambia wameishiwa makombola na vifaru vyao mkawa wakulima munavivuta Vifaru na Matrecta.
Hapo itakua kuna Nchi inatuchezea akili,inapambana alafu wanaisingizia urusi.
 
Teule kwako. Ni nchi ya ajabu wana dhani kuwa superpower ni kurusha makombora, watu wana fanya kazi usiku na mchana wawe na pesa wao wana kunywa vodka na kuamka asubuhi wakiwa na ndoto za kuitawala dunia. Wata subiri sana
Wewe ndio waajabu
Huwezi kuitenganisha RUSSIA na UTEULE kijana
RUSSIA anawakomboa UKRAINE hujui tuu kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…