Conspiracies, nadhani marekani kwa karne hii ame saidia sana dunia ku balanceMtu yeyote anayehusudu America,mwangalie sana akili yake,mara nyingi ni mind controlled.Unajua mkuu,America is not only masonic,but was found by
nderground societies,kwa hiyo uovu ndio unatawala US.To me nothing good comes out of America and is understable,because of its' background.
Mkuu what are you talking about.Amerika imeisambaratisha Vietnam;imepiga Balkans;imeipiga Japan mabomu ya nuclear;imeisambaratisha Syria;imeisambaratisha Afghanistan;imeisambaratisha Libya,na sasa kwa kushirikiana na Saudia Arabia wapo katika harakati za kuisambaratisha Yemen.Marekani liyofanya South America na Africa ya hovyo ni lukuki,not forgetting the many heads of state America has assassinated and the many countries America has destabilized.Conspiracies, nadhani marekani kwa karne hii ame saidia sana dunia ku balance
Nimekuelewa sana mkuu.Source ya hii habari ni ipi?
Anyway, it’s interesting. Nasubiri kuona madikteta wa dunia kama Putin & the oligarchs, Xi & Chinese tycoons, Kim wa NK na wengineo wakihamisha utajiri wao wa kifisadi toka US na EU region. Bila shaka unafahamu kuwa US wanamiliki deni kubwa sana la China kupitia federal treasury bonds. Yaani Wachina wanajua ili utajiri wao usipoteze thamani lazima uhifadhiwe US in dollars.
Thamani ya pesa haiimarishwi na vitu pekee. Bali zaidi na mifumo imara ya pesa iliyojengwa kule New York, London, Brussels, Frankfurt, n.k. Usalama wa pesa ni wa hali ya juu sana. Imagine, matajiri wa dunia wakiwemo mafisadi papa hata wa kwetu, wauza madawa ya kulevya, wote wanafanya kila janja kuhifadhi pesa zao huko.
Huko ni kwenye nchi zenye demokrasia ambako systems zinafanya kazi badala ya maamuzi ya mtu mmoja. Political systems and processes ziko stable. Uchumi unafuata sera zinazokubalika na wengi. Maamuzi muhimu yanachakatwa kiundani na vyombo shirikishi vya maamuzi vyenye kauli ya mwisho.
Sioni uwezekano wa watu kuhifadhi utajiri wao kwenye rubuli (roubles) ilhali haijulikani kesho Putin ataamka vipi. Au kwenye yuan na kuishi na wasiwasi kuhusu mipango na maamuzi ya Xi huko South China Sea! Ni kama ilivyokuwa hapa bongo nyakati zile unaweza amka na kukuta visenti vyako benki vimekaushwa vyote kwa “amri toka juu”. Sasa imagine tungekuwa super power.
Various advantages of the gold standard are as follows:-Binafsi sijabobea sana kwenye eneo la uchumi, GOLD STANDARD ikitumika itakuwa na impact gani kwenye uchumi wabtaifa letu
Na bado hadi Putin aombe poo, matajiri hawatakubali wafilisike kizembe.Russia to Return to Gold Standard, Government to Remove VAT (Tax) on Bullion. This bill will be submitted to the State Duma on March 4,2022.
In one fell swoop, Russia just made the Russian Ruble the single most stable currency in the entire world.
Moreover, they just fucked the US Dollar and the EURO so badly, neither currency is likely to survive.
Nobody around the world will favor a US dollar, backed by nothing, from a nation $30 TRILLION in debt, versus a gold-backed Ruble.
Russia just completely SMASHED the United States and the EUROZONE.
Think I'm kidding? Think again.
When Muammar Qaddafi in Libya planned on a Gold-backed currency for all of Africa, the West went into Libya and overthrew him.
When Saddam Hussein in Iraq announced he would start selling oil in currencies other than the U.S. Dollar, two months later was Iraq War 2 - and they hung him!
The U.S. Dollar being the sole reserve currency for this planet is why wars get waged, and now Russia has completely, totally smashed it.
You watch. The U.S. that has been saying "no nuclear war" and even Defense Secretary Lloyd Austin saying yesterday "All this talk of nuclear war is dangerous, stop it" is going to change almost overnight. The US is now in an existential crisis. Our currency has just been utterly smashed by Russia's decision to back the Ruble with Gold.
Watch the rhetoric about Russia from this moment on. You will notice it is ratcheted-up to vilification like you've never seen before. Why, they'll probably start accusing Russian troops of throwing babies out of incubators in Ukraine hospitals (like they accused Iraq) in order to justify going to war with Russia.
In my personal opinion, war with Russia is now a foregone conclusion. The US and Europe have no choice. If the Dollar and the EURO are to survive, Russia must be killed.
I hope you prepped. Food, water, medicine, etc.
Now get right with God. I mean it. The shit is about to hit the fan so badly, we'll be lucky to live through it.
UPDATE 8:45 AM EST FRIDAY MARCH 4 -- Two days ago on March 2, 2022, I recall seeing a SINGLE off-the-beaten-path notification which read simply "the EU has forbidden sale and import of EU banknotes into Russia." I remember thinking this was odd. How can anyone restrict the movement of cash and why would they? Now, we know.
Clearly the European Union (EU) got word that Russia was going to back their currency with Gold and the EU wanted to make sure no one in Europe could sell or even bring their cash EUROS into Russia to dump them for gold-backed currency! The EU knew this was coming . . . or at least they strongly feared it.
So now, people in Europe are hamstrung; they cannot use THEIR OWN MONEY to buy some other type of money without first converting that money to someone else's money that isn't restricted from going into Russia. Jump through hoops to use your own cash. These Bankers ARE tyrants. Outright vicious tyrants.
-------------------------------Source:
BOOM! RUSSIA RETURNS TO THE GOLD STANDARD FOR ITS CURRENCY!!!!!
Russia Returns to Gold Standard - Government to Remove VAT (Tax) on Bullion. This bill will be submitted to the State Duma on March 4. . . .halturnerradioshow.com
Kujifariji ni jambo jemaKaa Kwa kutulia , mwaka kesho mda kama huu urudi hapa
Mbona mimi sio Mkenya na napenda America? Nani Dunia hii hapendi US?Ila wakenya ni wa kupima akili. Yupo mwangine anajiita mk254 hovyo kweli.
Yaani wanapenda Amerika kama (limezama)lote
Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Russia wanachofanya ni kujikuna kupunguza muwasho tuu nothing else.Kibano kitaendelea hadi waombe poo ndio utajua hujui..Mkuu the Russian alternative is the way,if we want to get rid of inflation,hata Tanzania.Kama Bunge la Urusi,the Russian Duma litapitisha huo mswaada,which I believe they will kwa kuwa under the current circumstances that is their only way out,the Ruble will be very stable, kwa hiyo itakuwa the reserve currency of choice for nations,na the US dollar itakimbiwa.Hiyo itakuwa pigo kubwa kwa uchumi wa Marekani,ambao tayari unayumba.
Hakuna kitu cha maana,hapo wanajaribu kutunza thamani ya pesa yao isizidi kuanguka kwa kitegemea dhahabu,kitu ambacho ni pata potea.Binafsi sijabobea sana kwenye eneo la uchumi, GOLD STANDARD ikitumika itakuwa na impact gani kwenye uchumi wabtaifa letu
Basis ya nadharia za uchumi kama hujui tuliaWewe arguement yako ina basis gani?
Funny,unapenda Marekani kwa kuwa ni matajiri,so haki kwako si kitu kabisa.Pole sana.Mbona mimi sio Mkenya na napenda America? Nani Dunia hii hapendi US?
Kwa hiyo upende watu maskini na wajinga kama Russia Ili ufaidike nini hasa?
Una upungufu wa akili wewe,haki ipi aliyonayo Russia kuua watu Ukraine?Funny,unapenda Marekani kwa kuwa ni matajiri,so haki kwako si kitu kabisa.Pole sana.
I hate the entire American Government because it is such an evil government.I love the American people however.
Achana nae anakupotezea muda shusha nondo.Funny,unapenda Marekani kwa kuwa ni matajiri,so haki kwako si kitu kabisa.Pole sana.
I hate the entire American Government because it is such an evil government.I love the American people however.
Tatizo lililoko hapa je urusi ana uchumi imara wa kufanya haoSioni tatizo la ku-backup your currency with Gold,hasa kwa nchi yenye Gold kama Urusi,simply sioni tatizo, ni maamuzi tu,hasa ukizingatia mazingira waliyo nayo kwa sasa.Fiat Ruble kwa sanctions zilizopo, itapungua thamani mpaka itapoteza value kabisa.Ni vema wakai-backup with Gold.
fool time