MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Wewe nimefuatilia nyuzi zako Nyingi ni Anti-USA hata kwenye Jambo la ukweli lazima uiponde Marekani. Kwahiyo sutegemei kuona positive feedback kuhusu USA kutoka kwenye kichwa chako.Mkuu the USD is Fiat currency.Mwanzoni ilikuwa backed by Gold and to a limited extent silver,Ila baadae waliacha Soma hii[emoji116]
![]()
Fiat Money: What It Is, How It Works, Example, Pros & Cons
Fiat money is a government-issued currency that's not backed by a physical commodity such as gold or silver. Read more about dollars, euros, and other fiat money.www.investopedia.com
Ukiniambia Dollar ya Marekani itashuka thamani kisa Russia kaanzisha GOLD STANDARD wakati huohuo Marekani ndio yenye hadhina ya dhahabu kuliko nchi yoyote ile Duniani Tani (8,200) huku Urusi unayoipigia debe ina robo tu ya Marekani (Tani 2,300) Basi Nakuona kichaa tu.
Hapo ni Sawa na Swala aamue kuacha kula Nyasi badala yake aanze kula Nyama ili amukomoe Simba wakati kwenye ulaji wa Nyama Simba ndio kwake Sasa.
Kiufupi,Urusi Hana Cha kuikomoa Marekani,atawatishia Ulaya na Gas yake tu lakini sio Marekani.
Kwenye Jimbo la Pennisylvania kule Marekani wamegundua Reserve kubwa ya Mafuta karibu Mapipa Trillioni 98,000 ambayo ni karibu reserve ya Mafuta yaliyogunduliwa Dunia nzima. Wanaacha kuyachimba kwasababu ya ENVIRONMENTAL EFFECTS. Ndio maana mwaka 2017 Trump alivyoingia Madarakani akaiondoa Marekani kwenye PARIS AGREEMENT (inayoibana Marekani na Mataifa mengine kusitisha matumizi ya Fossil Fuels ili Kulinda Mazingira) na wakaanza mchakato wa kuyachimba. Alivyoingia Biden tunajua kilichotokea,Waliifutilia mbali mipango ya kuchimba Mafuta Pennisylvania baada ya kuirudisha Marekani kwenye PARIS AGREEMENT.