Russia sasa anazitageti hizi nchi Latvia na Swiden

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,840
Reaction score
8,202
Hizi nchi mbili zinajiingiza kwenye kimbunga hatari sana.
Wanaruhusu drone za ukraine zipitie kwao halafu ziingie Russia,ndio maana baada ya tamko kutoka Russia na kufanyika kwa mazoezi ya nuclear pale Beralus ndio wanajifanya eti wakiziona wanazitungua.

Wameulizwa ina maana mwanzo hamkiziona?

Tukumbuke hapo juzi bunge la Russia wametoa ruhusa kwa kwa Russia kuweza kuivamia nchi ingine inayopakana na Russia.

Muda wowote hiz nchi zitapondwa na zipo Nato.
Beralus inapakana na Poland ambapo ndio zana nyngi za Nato wamehifadhi huko .....

Russia says it has delivered nuclear warheads for Iskander-M missile systems to field storage points in Belarus as part of joint nuclear forces drills, Moscow’s Defense Ministry reported on May 21.
Stay tuned....
 
Russia ameshindwa kuivuta Kharkiv iliyo umbali wa kilomita 30 tu kutoka mpakani kwake kwa miaka miwili, ndio ataweza kuvuka Bahari ya Baltic kuipiga Sweden?
Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!

Unakumbuka juzi pale Russia kulikuwa na maazimisho ya Kijeshi
Victory Day Parade

Russia walijua tu Ukraine lazima watajaribu kushambulia iyo siku lengo kuaribu iyo siku..

Russia wakatoa tamko kubwa wakasema tunajua Ukraine kupitia nchi za Western watajaribu kutushambulia kwenye maazimisho yetu..

tunatoa tamko rasmi takatakata zote ziondoke apo Kiev mala moja. Yani Embassy zote na watu wao kutoka Ulaya waondoke Kiev kabisa!!!!!!!!!!!

Ulaya wakachanyikiwa

ikabidi Trump waongee na Putin kupisha yale maazimisho ya Russia ikatangazwa siku3 hakuna Vita yoyote pande zote!!!

Hii imetokea kama 2weeks tu

So Russia bado inatumia nguvu ndogo sn kwenye Vita.
 
Source ya hii habari ni ipi?

Hakuna ubalozi hata mmoja wa Ulaya au Marekani uliokimbia Kiev mwezi huu wa Mei wakati wa Victory Day. Hiyo habari ya kusema takataka zote ziondoke ni fix za mitandao ya kijamii tu ambazo umeziamini.
 
Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!

Unakumbuka juzi pale Russia kulikuwa na maazimisho ya Kijeshi
Victory Day Parade

Russia walijua tu Ukraine lazima watajaribu kushambulia iyo siku lengo kuaribu iyo siku..

Russia wakatoa tamko kubwa wakasema tunajua Ukraine kupitia nchi za Western watajaribu kutushambulia kwenye maazimisho yetu..

tunatoa tamko rasmi takatakata zote ziondoke apo Kiev mala moja. Yani Embassy zote na watu wao kutoka Ulaya waondoke Kiev kabisa!!!!!!!!!!!

Ulaya wakachanyikiwa

ikabidi Trump waongee na Putin kupisha yale maazimisho ya Russia ikatangazwa siku3 hakuna Vita yoyote pande zote!!!

Hii imetokea kama 2weeks tu

So Russia bado inatumia nguvu ndogo sn kwenye Vita.
kwahyo Russia anapenda kuendelea kupigana ilihali uwezo wa kumaliza vita anao?
 
Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!

Unakumbuka juzi pale Russia kulikuwa na maazimisho ya Kijeshi
Victory Day Parade

Russia walijua tu Ukraine lazima watajaribu kushambulia iyo siku lengo kuaribu iyo siku..

Russia wakatoa tamko kubwa wakasema tunajua Ukraine kupitia nchi za Western watajaribu kutushambulia kwenye maazimisho yetu..

tunatoa tamko rasmi takatakata zote ziondoke apo Kiev mala moja. Yani Embassy zote na watu wao kutoka Ulaya waondoke Kiev kabisa!!!!!!!!!!!

Ulaya wakachanyikiwa

ikabidi Trump waongee na Putin kupisha yale maazimisho ya Russia ikatangazwa siku3 hakuna Vita yoyote pande zote!!!

Hii imetokea kama 2weeks tu

So Russia bado inatumia nguvu ndogo sn kwenye Vita.
Msemaji mkuu wa Moscow
 
Rissia inaizidi Ukraine kwa mbali sana kwenye nyanja mbalimbali, kuanzia uwingi wa watu, ukubwa wa kiuchumi, bajeti ya kijeshi, idadi ya askari, LAKINI Urusi imefeli sana kwenye vita yake na Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi wataalam wa mambo ya kivita, wanasema kuwa uwezo wa kivita wa Urusi, kwa miaka mingi, inaonrkana umekuwa exagerated. Fikiria kuwa Urusi ilipanga kyishinda Ukraine, na kuiangusha Serikali ndani ya siku 3, kutoka siku 3, sasa ni miaka 4, haijafanikiwa hata kimoja ilichokuwa im-plan. Mbaya zaidi, inaonekana, kadiri siku zinavyozidi, ni Ukraine ndiyo inayoonekana kupata maendeleo zaidi ya kivita. Siku za karibuni Ukraine imekuwa ikiishambulia Urusi, ndani kabisa, na kuangamiza viyuo vya Urusi vya kusafishia mafuta, na kusababisha uzalishaji wa Urusi mafuta kuuanguka kwa 40%. Na drones hizo za masafa marefu zimetengenezwa na Ukraine yenyewe. Japo Ukraine bado inapata madhara makubwa, lakini kwa upande wa Urusi, madhara yamekuwa yanaongezeka kwa kasi zaidi. Hata maeneo mengine ambayo Urusi iliyatrka, Ukraine imeweza kuyakomboa.

Kwa ujumla Urusi imekutana na kitu ambacho haikutarajia, imebakia kuitishia Dunia na mabomu ya nuclear.
 
Pale ndipo uwezo wa Urusi ulipoishia. Uwezo pekee ilioubakiza Urusi ni kutumbia tu silaha za nuclear, lakini kwa silaha za kawaida, pale ndiyo mwisho. Ndiyo maana unaona mpaka imefikia kutafuta wapiganaji kutoka mataifa mengine, kuwatoa wafungwa magerezani na kuwafanya wapiganaji. Vita hivi vimethibitisha idhaifu wa jeshi la Urusi, ndiyomaana wataalam wa masuala ya kivita, wanasema uwezo wa kivita wa Urusi ulipaishwa kuliko uhalisia. Mbaya zaidi hata uchumi wake, ambao miaka ya mwishoni uliokolewa na mataifa ya Magharibi, kuna hatari unaweza kurudi kwenye crisis ile iliyosababisha mpaka USSR kuvunjika.

The belief that the Russian military was widely over-exaggerated is broadly accepted by defense analysts and international intelligence agencies. Decades of state propaganda, strategic posturing, and Cold War-era perceptions fostered an illusion of an unstoppable superpower
 
Rissia inaizidi Ukraine kwa mbali sana kwenye nyanja mbalimbali, kuanzia uwingi wa watu, ukubwa wa kiuchumi, bajeti ya kijeshi, idadi ya askari, LAKINI Urusi imefeli sana kwenye vita yake na Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi wataalam wa mambo ya kivita, wanasema kuwa uwezo wa kivita wa Urusi, kwa miaka mingi, inaonrkana umekuwa exagerated. Fikiria kuwa Urusi ilipanga kyishinda Ukraine, na kuiangusha Serikali ndani ya siku 3, kutoka siku 3, sasa ni miaka 4, haijafanikiwa hata kimoja ilichokuwa im-plan. Mbaya zaidi, inaonekana, kadiri siku zinavyozidi, ni Ukraine ndiyo inayoonekana kupata maendeleo zaidi ya kivita. Siku za karibuni Ukraine imekuwa ikiishambulia Urusi, ndani kabisa, na kuangamiza viyuo vya Urusi vya kusafishia mafuta, na kusababisha uzalishaji wa Urusi mafuta kuuanguka kwa 40%. Na drones hizo za masafa marefu zimetengenezwa na Ukraine yenyewe. Japo Ukraine bado inapata madhara makubwa, lakini kwa upande wa Urusi, madhara yamekuwa yanaongezeka kwa kasi zaidi. Hata maeneo mengine ambayo Urusi iliyatrka, Ukraine imeweza kuyakomboa.

Kwa ujumla Urusi imekutana na kitu ambacho haikutarajia, imebakia kuitishia Dunia na mabomu ya nuclear.
Ww hujawah kumilik akil
 
Ukraine anapata maendeleo yepi, na huku hajafanikiwa rudisha ardhi yake ?
 
Tatizo hawa watoto hawajui kuwa ile ni vita kati ya NATO na Urusi.

NATO isingekuwa nyuma ya Ukraine ungekuta kazi imeisha siku nyingi sana... Ni kama Marekani inavyoteseka na Iran kumbe kuna mkono wa China
 
Back
Top Bottom