latvia

  1. F

    Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
  2. MK254

    Urusi yaandika barua kulalamikia Latvia, Mwanachama wa NATO, hii ndio nguvu ya NATO

    Latvia ni kataifa kadogo sana jirani ya Urusi, ila mwanachama wa NATO, sasa Urusi imezoea kuparamia vitaifa majirani ila kwa wanachama wa NATO hukaa mbali au kuandika barua za kulalamika, kama ambavyo imefanya kwa Latvia, imelalamika lalamika hatua za Latvia kubomoa minara yoyote ya Urusi...
Back
Top Bottom