Latvia yakabiliwa na uhaba wa wananume, Wanawake Wazidi Wanaume zaidi ya 80,000

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake, na mabadiliko ya idadi ya watu baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovyeti.

Kwa miaka mingi, trendi hizi zimechangia kupungua kwa idadi ya wanaume, jambo linaloathiri muhusiano, ajira, na mipango ya kiuchumi ya taifa.

Kwa mujibu wa takwimu rasmi za mwaka 2025 kutoka kwa kitengo cha takwimu za taifa, wanawake wanaunda takriban 53.7% ya idadi yote ya watu nchini Latvia. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, kuna 116 wanawake kwa kila 100 wanaume katika nchi hiyo.

Wanawake wengi kuliko wanaume pia huathiri tamaduni za uhusiano, utulivu wa ajira, na mipango ya muda mrefu ya kiuchumi. Serikali sasa inakabiliana na changamoto ya kupungua kwa nguvu kazi na pengo la kijinsia ambalo linaonekana halitarekebishwa kwa muda mfupi.
1765435243388.png
 
Ngoja waja waseme, Mashoga ndo wamesababisha hali hiyo.
 
Fursa hiyo ni yako, yaan ushindwee wee tyuuh.
Au nguvu na uwezo huna? Straight uchwaraaaaaa.
😂😂😂😂😂😂😂
Nguvu ninazo
Nina mke ndani pia namiliki michepuko 6
Nyie mashoga mmetuachia haya majukumu mazito
 
Mbona idadi sio kubwa sana?
Teeth wapo kazini kuPUSh mada pendwa ili Gen Z wasijadili maandamano.

Huku TZ kuna bonge la gap kati ya wanaume na wanawake lakini sijaona wanawake wakienda kenya.uganda/rwanda kutafuta wanaume ,iweje sehemu yenye wanaume wengi ndiyo kuwe na tatizo?
 
Latvia inakabiliwa na tatizo la kipekee la idadi ya watu, ambapo wanawake wanazidi wanaume kwa zaidi ya 80,000. Hali hii imetokana na uhamaji mkubwa wa wanaume, tofauti za kiafya ambazo zinafanya wanaume kuishi maisha mafupi kuliko wanawake, na mabadiliko ya idadi ya watu baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovyeti.

Kwa miaka mingi, trendi hizi zimechangia kupungua kwa idadi ya wanaume, jambo linaloathiri muhusiano, ajira, na mipango ya kiuchumi ya taifa.

Kwa mujibu wa takwimu rasmi za mwaka 2025 kutoka kwa kitengo cha takwimu za taifa, wanawake wanaunda takriban 53.7% ya idadi yote ya watu nchini Latvia. Hii ina maana kwamba, kwa wastani, kuna 116 wanawake kwa kila 100 wanaume katika nchi hiyo.

Wanawake wengi kuliko wanaume pia huathiri tamaduni za uhusiano, utulivu wa ajira, na mipango ya muda mrefu ya kiuchumi. Serikali sasa inakabiliana na changamoto ya kupungua kwa nguvu kazi na pengo la kijinsia ambalo linaonekana halitarekebishwa kwa muda mfupi.
Sasa huo wingi wa wanawake uko wapi?

Wanawake ni 116
Wanaume ni 100
Tofauti ni 16
Ambapo hapa bongo Hali ingekuwa hiyo basi wanaume tungekuwa tunawinda kama tembo. Una Kuta mke wa mtu anamiliki wanaume wengine3 Nje ya ndoa unakuta mwanaume anamichepuko 6 na yote anaihudumia.

Hao wanaume ni wapumbavu kabisa idadi hiyo Kwa wanawake ni ndogo sana inatakiwa wawe 170 Kwa wanaume 100
 
Back
Top Bottom