Nimefanya tafiti wamama ndio wengi zaidiWasiwe vijana sasa waww wamama wamama mkuu hapo ndo kidogo afadhali
Aloo kumbe mwanang ushapata ajira isiyo rasmi 😂😂Nime pata dem wa kiarabu, sasa namuachaje kwa deal isiyi eleweka😂😁
Pia hapo wanawake ambao wapo kwenye menopause wamekuwa included.Mbona idadi sio kubwa sana?
Niko natamba mwanangu,kifupi naichapa mwanangu 😁😂Aloo kumbe mwanang ushapata ajira isiyo rasmi 😂😂
Dah Kumbe wanawawake wapo wengi kuliko wanaumeHuku TZ kuna bonge la gap kati ya wanaume na wanawake lakini sijaona
Yes ,51% ya Population.Dah Kumbe wanawawake wapo wengi kuliko wanaume