Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!Russia ameshindwa kuivuta Kharkiv iliyo umbali wa kilomita 30 tu kutoka mpakani kwake kwa miaka miwili, ndio ataweza kuvuka Bahari ya Baltic kuipiga Sweden?
Source ya hii habari ni ipi?Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!
Unakumbuka juzi pale Russia kulikuwa na maazimisho ya Kijeshi
Victory Day Parade
Russia walijua tu Ukraine lazima watajaribu kushambulia iyo siku lengo kuaribu iyo siku..
Russia wakatoa tamko kubwa wakasema tunajua Ukraine kupitia nchi za Western watajaribu kutushambulia kwenye maazimisho yetu..
tunatoa tamko rasmi takatakata zote ziondoke apo Kiev mala moja. Yani Embassy zote na watu wao kutoka Ulaya waondoke Kiev kabisa!!!!!!!!!!!
Ulaya wakachanyikiwa
ikabidi Trump waongee na Putin kupisha yale maazimisho ya Russia ikatangazwa siku3 hakuna Vita yoyote pande zote!!!
Hii imetokea kama 2weeks tu
So Russia bado inatumia nguvu ndogo sn kwenye Vita.
kwahyo Russia anapenda kuendelea kupigana ilihali uwezo wa kumaliza vita anao?Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!
Unakumbuka juzi pale Russia kulikuwa na maazimisho ya Kijeshi
Victory Day Parade
Russia walijua tu Ukraine lazima watajaribu kushambulia iyo siku lengo kuaribu iyo siku..
Russia wakatoa tamko kubwa wakasema tunajua Ukraine kupitia nchi za Western watajaribu kutushambulia kwenye maazimisho yetu..
tunatoa tamko rasmi takatakata zote ziondoke apo Kiev mala moja. Yani Embassy zote na watu wao kutoka Ulaya waondoke Kiev kabisa!!!!!!!!!!!
Ulaya wakachanyikiwa
ikabidi Trump waongee na Putin kupisha yale maazimisho ya Russia ikatangazwa siku3 hakuna Vita yoyote pande zote!!!
Hii imetokea kama 2weeks tu
So Russia bado inatumia nguvu ndogo sn kwenye Vita.
Msemaji mkuu wa MoscowKwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!
Unakumbuka juzi pale Russia kulikuwa na maazimisho ya Kijeshi
Victory Day Parade
Russia walijua tu Ukraine lazima watajaribu kushambulia iyo siku lengo kuaribu iyo siku..
Russia wakatoa tamko kubwa wakasema tunajua Ukraine kupitia nchi za Western watajaribu kutushambulia kwenye maazimisho yetu..
tunatoa tamko rasmi takatakata zote ziondoke apo Kiev mala moja. Yani Embassy zote na watu wao kutoka Ulaya waondoke Kiev kabisa!!!!!!!!!!!
Ulaya wakachanyikiwa
ikabidi Trump waongee na Putin kupisha yale maazimisho ya Russia ikatangazwa siku3 hakuna Vita yoyote pande zote!!!
Hii imetokea kama 2weeks tu
So Russia bado inatumia nguvu ndogo sn kwenye Vita.
Kwaivo ww unajua ule ndio uwezi wa Russia!!!

Ww hujawah kumilik akilRissia inaizidi Ukraine kwa mbali sana kwenye nyanja mbalimbali, kuanzia uwingi wa watu, ukubwa wa kiuchumi, bajeti ya kijeshi, idadi ya askari, LAKINI Urusi imefeli sana kwenye vita yake na Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi wataalam wa mambo ya kivita, wanasema kuwa uwezo wa kivita wa Urusi, kwa miaka mingi, inaonrkana umekuwa exagerated. Fikiria kuwa Urusi ilipanga kyishinda Ukraine, na kuiangusha Serikali ndani ya siku 3, kutoka siku 3, sasa ni miaka 4, haijafanikiwa hata kimoja ilichokuwa im-plan. Mbaya zaidi, inaonekana, kadiri siku zinavyozidi, ni Ukraine ndiyo inayoonekana kupata maendeleo zaidi ya kivita. Siku za karibuni Ukraine imekuwa ikiishambulia Urusi, ndani kabisa, na kuangamiza viyuo vya Urusi vya kusafishia mafuta, na kusababisha uzalishaji wa Urusi mafuta kuuanguka kwa 40%. Na drones hizo za masafa marefu zimetengenezwa na Ukraine yenyewe. Japo Ukraine bado inapata madhara makubwa, lakini kwa upande wa Urusi, madhara yamekuwa yanaongezeka kwa kasi zaidi. Hata maeneo mengine ambayo Urusi iliyatrka, Ukraine imeweza kuyakomboa.
Kwa ujumla Urusi imekutana na kitu ambacho haikutarajia, imebakia kuitishia Dunia na mabomu ya nuclear.
Ukraine anapata maendeleo yepi, na huku hajafanikiwa rudisha ardhi yake ?Rissia inaizidi Ukraine kwa mbali sana kwenye nyanja mbalimbali, kuanzia uwingi wa watu, ukubwa wa kiuchumi, bajeti ya kijeshi, idadi ya askari, LAKINI Urusi imefeli sana kwenye vita yake na Ukraine. Ndiyo maana sasa hivi wataalam wa mambo ya kivita, wanasema kuwa uwezo wa kivita wa Urusi, kwa miaka mingi, inaonrkana umekuwa exagerated. Fikiria kuwa Urusi ilipanga kyishinda Ukraine, na kuiangusha Serikali ndani ya siku 3, kutoka siku 3, sasa ni miaka 4, haijafanikiwa hata kimoja ilichokuwa im-plan. Mbaya zaidi, inaonekana, kadiri siku zinavyozidi, ni Ukraine ndiyo inayoonekana kupata maendeleo zaidi ya kivita. Siku za karibuni Ukraine imekuwa ikiishambulia Urusi, ndani kabisa, na kuangamiza viyuo vya Urusi vya kusafishia mafuta, na kusababisha uzalishaji wa Urusi mafuta kuuanguka kwa 40%. Na drones hizo za masafa marefu zimetengenezwa na Ukraine yenyewe. Japo Ukraine bado inapata madhara makubwa, lakini kwa upande wa Urusi, madhara yamekuwa yanaongezeka kwa kasi zaidi. Hata maeneo mengine ambayo Urusi iliyatrka, Ukraine imeweza kuyakomboa.
Kwa ujumla Urusi imekutana na kitu ambacho haikutarajia, imebakia kuitishia Dunia na mabomu ya nuclear.
Tatizo hawa watoto hawajui kuwa ile ni vita kati ya NATO na Urusi.Ukraine anapata maendeleo yepi, na huku hajafanikiwa rudisha ardhi yake ?
Wanaangalia katikana namna ya ushabiki pasipo pasipo kujua ukweliTatizo hawa watoto hawajui kuwa ile ni vita kati ya NATO na Urusi.
NATO isingekuwa nyuma ya Ukraine ungekuta kazi imeisha siku nyingi sana... Ni kama Marekani inavyoteseka na Iran kumbe kuna mkono wa China