Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mtoa mada kila kukicha unakuja na
Story Za ndoto hebu wambie Ukraine kwanza watuonyeshe hizo Hypersonic missiles walizo zitungua kabla hutujakujibu hi ndoto
Inaelekea nimepitwa na wakati: hivi ni kweli kuwa hakuna shambulizi limegusa ardhi ya urusi?, hiki nilichokiona humu hakina ukweli?"vita vya tatu vya dunia kisa vidrone vya Ukraine.....??.
Acha uongo bro sisi hatukumbuki.!!!. tunachojua sisi ni kwamba Ukraine ikipipiga tu ndani ya urusi kinachofuata ni vipondo heavy mpaka magharibi waimbe wimbo unaofafana ndo jamaa (putin) anadjust kidogo........!!!!
Taarifa nyingi zinaonesha kuwa warusi wana - admit kupigwa"vita vya tatu vya dunia kisa vidrone vya Ukraine.....??.
Acha uongo bro sisi hatukumbuki.!!!. tunachojua sisi ni kwamba Ukraine ikipipiga tu ndani ya urusi kinachofuata ni vipondo heavy mpaka magharibi waimbe wimbo unaofafana ndo jamaa (putin) anadjust kidogo........!!!!
Ukioneshwa unajitia upofWe mtoa mada kila kukicha unakuja na
Story Za ndoto hebu wambie Ukraine kwanza watuonyeshe hizo Hypersonic missiles walizo zitungua kabla hutujakujibu hi ndoto
Ww naye zuzu unajua kipondo heavy? Ni USA tu ndio iliwahi kutoa kipondo heavy ok muulize Saddam hatamani kumuona Muamerika aise"vita vya tatu vya dunia kisa vidrone vya Ukraine.....??.