Russia si salama tena Drones ndani ya Moscow

"vita vya tatu vya dunia kisa vidrone vya Ukraine.....??.
Acha uongo bro sisi hatukumbuki.!!!. tunachojua sisi ni kwamba Ukraine ikipipiga tu ndani ya urusi kinachofuata ni vipondo heavy mpaka magharibi waimbe wimbo unaofafana ndo jamaa (putin) anadjust kidogo........!!!!
 
Nimesoma sehemu Urusi inalalamikia Ukraine kwa drones kuwa kero Moscow...
 
We mtoa mada kila kukicha unakuja na
Story Za ndoto hebu wambie Ukraine kwanza watuonyeshe hizo Hypersonic missiles walizo zitungua kabla hutujakujibu hi ndoto
 
Prigozhin aliwacheza akili mmkachezeka,Leo hii mnachezwa na drone na hamstuki.
 
Inaelekea nimepitwa na wakati: hivi ni kweli kuwa hakuna shambulizi limegusa ardhi ya urusi?, hiki nilichokiona humu hakina ukweli?
 
Taarifa nyingi zinaonesha kuwa warusi wana - admit kupigwa
 
We mtoa mada kila kukicha unakuja na
Story Za ndoto hebu wambie Ukraine kwanza watuonyeshe hizo Hypersonic missiles walizo zitungua kabla hutujakujibu hi ndoto
Ukioneshwa unajitia upof
 
Ww naye zuzu unajua kipondo heavy? Ni USA tu ndio iliwahi kutoa kipondo heavy ok muulize Saddam hatamani kumuona Muamerika aise

Urusi mdebwedo tu hawana lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…