Russia Vs Ukraine hakuna mshindi wa Vita ila kwa Haraka Urusi amepoteza in reality

Yaani Russia ameishusha thamani pesa yake? Mkitukanwa mtasema mnaonewa.
 
ni ngumu kuelewa kivip Russia kaferi , wenzio wanajiandaa na mtihani wa acsee wewe upo busy kudiscus mambo ya NECTA , hapo ukiambiwa unaferi unajua kwann ?
 
Tatizo huwa mnatazama habari kupitia Sky news, BBC, CNN, na vibaraka wao. Tazama na RT news au CGTN news uone story zenyewe za kinachoendelea.

Marekani ukitaka kumjua ni mzee wa propaganda na habari za kupika katazame hali ya Libya, Iraq, sehemu ambazo aliingia na kuvuruga kisha kusema patakuwa salama na Maisha bora. Nenda katazame kinachoendelea utapata picha kamili ya nini kinachoendelea huko pahala halafu linganisha na kinachoendelea kwenye Media hizo za magharibi ndio utajua usanii ni mwingi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…