loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
England vs sweden
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaa dadakee eeeh hahahahaHaha saaaanaa
Timu za Amerika ya Kusini zijipange tena upya, soka sasahivi lipo ulayaRobo fainal itakuwa
England vs Sweden.
America ya kusini zimebaki timu mbili. Brazil na Uruguay. Africa hamna kitu.
8 za ulaya dhidi ya 6 za Amerika kusini.
Wakapaki tena mabasi yao[emoji16]Umeonaa dadakee eeeh hahahaha
Dakika 90 kama siyo 120 zitaongea!!!Sweden sidhani kama watawaweza hawa watoto wa malikia
Nyani Ngabu wana bahati
Tupongeze pia team EnglandHahahaha poleni sana team Columbia
Basi watakiona cha mtema kuni nusu fainali na CroatiaSweden sidhani kama watawaweza hawa watoto wa malikia
Unataka ipi isimame sasa...do u think that Sweden angemtoa Colombia???Pamoja na England kushinda, hii si timu ya kusimama na Sweden
Narudia tena, Belgium anabeba kikombe.Sweden sidhani kama watawaweza hawa watoto wa malikia
England walikuwa na low energy, hawana pattern. Si timu ya kusimama na SwedenWamshukuru Mcolombia aliyepiga mwamba....maana angepata ile penati ndo ingekuwa bye bye.
Oyeeee!!England hoyee
Soka limeshuka dunia yote...Timu za Amerika ya Kusini zijipange tena upya, soka sasahivi lipo ulaya