Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Everything seems possible now with this group of players in Peter drury voice.

Hahaha aisee leo hatutalala ukitaka raha ya maneno kasome the sun ila kwa hii England kwa Sweden watasubiri sana
 

Wamshukuru Mcolombia aliyepiga mwamba....maana angepata ile penati ndo ingekuwa bye bye.
NN ni end of the road kwa England. Kwa mchezo wa leo,hawawezi kusimama kidete na Sweden

Bado nabaki kuamini timu 4 za mwisho

Brazil, Croatia, Sweden Uruguay
Katika timu hizi, anayeweza kumzuia Brazil kwa uhakika ni Croatia

Brazil mwaka huu hataki mchezo. Wanataka kuji redeem toka 2014!
 
Zali la penati huwa hatuna nakumbuka euro 96 nusu na mjeremani huyu lango la kusini (kocha )alikosa mkwaju wake nikadhani na leo yatajirudia vijana wamefanya kweli si haba. Pana nguruwe wa kuitwa Marcus alitabiri hatuvuki mzunguuko wa kwanza ajipange tena.
 
Unataka ipi isimame sasa...do u think that Sweden angemtoa Colombia???
No, I mean England haiwezi kuvuka kikwazo cha Sweden kutokana na uchezaji mbovu ilioonyesha. Hii ilikuwa ni timu ya kuifunga Columbia bila extra time

Wangetumia udhaifu wa kadi kupita mabeki, hawakuweza wakajikita katika Cross

Nikisema haiwezi kusimama na Sweden nina maana ndio mwisho wa safari
 
Timu za Afrika zilionyesha kiwango duni hadi nilitamani zitolewe

Kuna umuhimu wa kuwa na ''rebellion' kuachana na timu za Egypt, Tunisia, Morocco,Nigeria zinazokwenda WC bila matokeo tofauti miaka nenda rudi a.k.a insane

Nazi miss sana Ghana na Cameroun
 
Back
Top Bottom