No! sijui kama unaelewa ninachosema. Kwamba, kwa timu kama Columbia iliyokuwa na kadi na mchezaji wao maarufu akiwa hayupo kwenda extra time ilikuwa uzembeKwahyo ukishinda kwenye extra time wewe ni team dhaifu??? Ama kweli akutukanae hakuchagulii tusi
Mkuu England safari hii tumeamua kukaa kimya, mana washazoea kutuita timu ya matangazo.Endelea kuota , mlisema hatovuka hata makundi. LEO mmeamua kujificha kwenye kichaka cha kutaja team zako nne [emoji1] [emoji1]
Brazil akitane na France kivipi?yaan hao brazil utawakana tu, naomba akutane na france,[emoji16] ,, ivi nyie brazil mnaiogopea nn? acheni ushabiki, brazil safari yake imewadia
Nope! kiwango cha England ni duni.
Jana nilisema Columbia ni underdog hata hivyo England wasifanye kosa na kudhani ni Senegal au Tunisia, wataduwazwa. Ni kweli wameduwazwa kwa ushindi wa matatu
Kwa timu yenye kadi 6, ilikuwa ni kupita katikati kwasababu wachezaji wasinge risk red card
England wakaamua kutumia forward 2 na cross wakimtumaini Kane.
Kiungo kikafa na kukaribisha mashambulizi. Hii mechi haikupaswa kwenda extra time
Kilichokosekana kwa England ni 'psychology' ya wachezaji kutambua kuwa Columbia walidhamiria kuwa frustrate ili wacheze kama wao.
Ndivyo England walivyovutika na kuacha pattern zao za PL na kucheza touch za South America. Huwezi kujifunza pattern mpya katika dakika 40 au 50.
Wakachanganyikiwa wacheze vipi hadi matatu yalipowaokoa
England ndio kabisaaaaa. Timu 8 zilizobaki, urusi na england ndio underdogs.sweden hamna kitu pale ovyo kabisa,
England anacheza kutokana na mpinzani alivyoo.Kwa mpira wa england pia, afadhali sweden! Sweden atapita kama england huu ndio mpira wao.
Mkuu Rashford kapiga penati wa pili...[emoji16] [emoji16]Na wao wamshukuru henderson kwa kukosa ile penati maana kugongesha kwao mwamba Kazi ilikuwa inamalizwa na Rashford
Wilshire yule ambaye hata arsenal hawamtaki?Pamoja mwishoni mwa msimu hakuwa na fitness nzuri, lkn ktk kikosi cha uingereza sijaona kiungo wa kumuweka Jack Wilshare benchi na angekuwepo leo uingereza alikuwa anamaliza gemu mapema kabisa. England leo walimkosa mtu type ya Jack wa kukaa na kusambaza mipira pale kati na mwenye uwezo wa ku-assist, ndio maana walimua kucheza na refa ili wapewe faulo na kwa kugundua wamezidiwa wakaamua wamuingize Rose na Vady sababu wana kasi watawasaidia ktk counter attack, endapo colombia wangepoteza mipira pale kati, ila leo England washukuru James Rodriquez hakucheza la sivyo mechi isingeenda hata dk 120.
Ni kweli. Panama ni wazuri sana ndio maana nao wakawa wazuri.England anacheza kutokana na mpinzani alivyoo.
Ukiwa hovyo nae anakuwa hovyoo
Wala usijione mtabiri world cup hii ndio inaongoza kwa magoli kufungwa dakika za lala salama. Game ya England vs Tunisia goli la pili kane alifunga Dakika Ya 89. Zipo Game nyingi mno watu wamefungwa Dakika Za lala salama.No! sijui kama unaelewa ninachosema. Kwamba, kwa timu kama Columbia iliyokuwa na kadi na mchezaji wao maarufu akiwa hayupo kwenda extra time ilikuwa uzembe
Kwa England kuongoza hadi dakika ya 90 na kushindwa kupunguza kasi ya Columbia ni tatizo
England ilipaswa kujaza viungo ili mipira ikitua kati isipotee. Angalia chanzo cha goli la Columbia
Timu inapoongoza katika dk 90 kuna njia nyingi za kutawala. Kwanza ku slow down mchezo kwa pasi na kutanua uwanja. Au, kujaza viungo ili kumiliki mpira na mwisho kuweka pressure ili kuzuia beki wa upinzani kupanda. England hawakufanya hata moja kati ya hayo.
Tuliona udhaifu huo na ndiyo maana wengine tukasema ngoma bado hadi kipenga cha mwisho. Haikuchukua dk 5 ngoma ikaenda draw
Kumbe siku hizi magoli ya penati huwa hayahesabiwi[emoji15]Waingereza bana, kina danny murphy, chris sutton wako bize kumsifu harry kane huko bbc kuwa ni straiker hatari sana duniani na kudhibitisha hilo ana magoli sita kombe la dunia. Ila hawasemi ktk hayo magoli sita MANNE ni ya penati na moja ni deflection tu ya Loftus Cheek ilimgonga ikaingia.
Umeshinda mkuu, harry kane ni bonge la straiker kombe la dunia hili, hamna mwingine ana magoli sita kafunga.Kumbe siku hizi magoli ya penati huwa hayahesabiwi[emoji15]
Ronaldo mpaka anatoka world cup alikuwa na magoli manne, moja ni penalt na kuna siku alikosa penalt mkaanza kumtupia lawama.
Mtu mweusi ni jitu la hovyo duniani sasa ulitaka wamsifie messi au Ronaldo?[emoji15]
Hakuna utabiri, kilichopo ni ufahamu wa mchezo(samahani kama nitakukwaza)Wala usijione mtabiri world cup hii ndio inaongoza kwa magoli kufungwa dakika za lala salama.
Huoni ndani ya dakika 120 colombia kapata kona mbili tu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Matokeo ya ubane ni hizo kadi za njano, hebu angalia nani ana kadi za njano nyingi mkuu kwenye hizo takwimu nimezoweka.Daud1990 Mkuu takwimu zipo kuonyesha hali ya mchezo. Muhimu ni oucome ya takwimu hizo
Kuna factor nyingine hazionekani katika takwimu lakini ni sehemu ya mchezo
Mfano, ubabe umeonekana katika takwimu zipi? foul si ubabe kumbuka
Matokeo Gani muhimu wamepata colombia. Mkuu umekunywa safari[emoji1] [emoji1]Hakuna utabiri, kilichopo ni ufahamu wa mchezo(samahani kama nitakukwaza)
Ndilo tatizo letu waafrika tunaamini madogori zaidi ya utaalam lol
Umesema vema sana, Columbia kona 2 na kupata goli muhimu.
Siyo lazima kona ''10''zisizo na matokeo
Kwa England yule ni lulu (hata kwenye vilazer Kuna kilazer mwenye afadhali) , ila kwa Arsenal pale atasubiri sababu mikhitaryan na Ozil ni wazuri zaidi yake. England na Arsenal ni vitu viwili tofauti au ww mwenyewe fikiria kwa timu ya uingereza (si Arsenal) kuingo gani mwenye uwezo wa kukaa na mipira, kuchezesha timu na ku-assist.Wilshire yule ambaye hata arsenal hawamtaki?
Wilshire sio arsenal tena, kaachwa, hana timu sasa hivi. Southgate alimuacha sababu hayupo ktk liwango.Kwa England yule ni lulu (hata kwenye vilazer Kuna kilazer mwenye afadhali) , ila kwa Arsenal pale atasubiri sababu mikhitaryan na Ozil ni wazuri zaidi yake. England na Arsenal ni vitu viwili tofauti au ww mwenyewe fikiria kwa timu ya uingereza (si Arsenal) kuingo gani mwenye uwezo wa kukaa na mipira, kuchezesha timu na ku-assist.
Hebu tuonyeshe frustrations za England zinaonekana vipi quantitatively katika takwimu.Matokeo ya ubane ni hizo kadi za njano, hebu angalia nani ana kadi za njano nyingi mkuu kwenye hizo takwimu nimezoweka.
Hakuna kitu kinatokea uwanjani kisitokee kwenye takwimu. Sema tena nikukumbushe