Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Kama unaujua mpira utanielewa, wewe jana niambie kama uliona mipango yyt iliyotengenezwa na ndio maana nikasema Wilshare ana uhafadhali.
Argentina, Portugal, German, Spain zilikuwa na mipango unayoitaka wewe sehemu ya kiungo ila kwa sasa wanatazama world cup wakiwa wamekaa kwenye masofa kama wewe.
 
Nazungumzia kwa mustakabali wa jana wa England UTAKE USITAKE JANA UINGEREZA KATI WALIKUFA na ndio maana kama umeifuatilia komenti yangu ya mwanzo nimesema kwa uingereza mtu ambaye angeweza kuziba pengo lile la kiungo ,kwenye benchi siajmuona zaidi ya Wilsahare .Jana uingereza kwa kifupi mipango walikuwa hawana kabisa.Sijui labda ww niambie jana UINGEREZA alikuwa anatumia staili gani kushambulia manake URUGUAY,RUSSIA,SWEDEN tumeona hawakucheza mpira sana lkn wakipata mipira mipango inaonekana pamoja na nafasi zao kuwa chache,kwa kifupi walikuwa wanapossess lkn walikuwa hawajui wafanye nini kwenye lango la Colombia na ndio maana mara nyingi walikuwa wanamuhadaa refa.
 
Sasa kama unakiri Uruguay, Russia, na sweden hawakucheza vizuri na walipata matokeo mazuri kwa nini na waingereza usiwaweke kwenye hilo kundi kuwa walicheza vibaya na wamepata matokeo. Kipi kinakufanya uwatoe kwenye kundi la waliecheza vibaya ila matokeo wamepata.

Kinachowasumbua nyie ni kuangalia mechi kimazoea. Mpira wa sasa ni matokeo na kuwa resilient kwa aggressiveness ya opponent wako, ndicho walichofanya England jana, licha ya ukali wa colombia waliambulia kona mbili tu ndani ya dakika 120 na kuvurumishwa nje ya mashindano kwa mikwaju ya penati.

Mmezoea kuangalia mechi kimazoea. Katika team nane zilizosalia ukitoa Brazil na Uruguay zingine zilizobaki kufika robo fainal miaka ya hivi karibuni ilikuwa ni ngumu sana (urusi,croatia,sweden,France,England na belgium) na hapo ndipo mnapopata mawazo kuwa hizi team zimefikaje wakati mateam yenu kama Germany, Ureno,Argentina na Spain zipo nyumbani.

Tukutane kesho kutwa.
 
Naujua mpira na nimecheza mpira labda kama ww unamtizamo wako tofauti,basi ni wewe usinilazimishe nione unavyo wewe.Nimebainisha eneo ambalo Uingereza hawakuwa bora pamoja kwamba walipata matokeo huo ndio ukweli wenyewe ,huwezi fananisha URUGUAY,SWEEDEN NA RUSSIA na kile walichokifanya jana.
 
Nazungumzia kwa mustakabali wa jana wa England UTAKE USITAKE JANA UINGEREZA KATI WALIKUFA na ndio maana kama umeifuatilia komenti yangu ya mwanzo nimesema kwa uingereza mtu ambaye angeweza kuziba pengo lile la kiungo ,kwenye benchi siajmuona zaidi ya Wilsahare .Jana uingereza kwa kifupi mipango walikuwa hawana kabisa.Sijui labda ww niambie jana UINGEREZA alikuwa anatumia staili gani kushambulia manake URUGUAY,RUSSIA,SWEDEN tumeona hawakucheza mpira sana lkn wakipata mipira mipango inaonekana pamoja na nafasi zao kuwa chache,kwa kifupi walikuwa wanapossess lkn walikuwa hawajui wafanye nini kwenye lango la Colombia na ndio maana mara nyingi walikuwa wanamuhadaa refa.
Kwa taarifa yako tu tangu england imechukuliwa na kocha Southgate imepoteza mechi moja tu dhidi ya Belgium tena kilichezeshwa kikosi cha pili. Huyo wilshere hajawahi kuwa sehemu ya kutumainiwa kwenye team ya England. Sasa hivi mpira sio majina. Mchezaji wa England ambae hakuitwa na angestahili kucheza kama si kusaidiana pale katikati na wengine ni mashine takatifu JONJO SHEVLEY kiungo kutoka Newcastle. Kwa sababu nyie mnaangalia majina sijui hata kama huyu mtu unamfaham au kujua walau nusu ya shughuli yake uwanjani.
 
Naujua mpira na nimecheza mpira labda kama ww unamtizamo wako tofauti,basi ni wewe usinilazimishe nione unavyo wewe.Nimebainisha eneo ambalo Uingereza hawakuwa bora pamoja kwamba walipata matokeo huo ndio ukweli wenyewe ,huwezi fananisha URUGUAY,SWEEDEN NA RUSSIA na kile walichokifanya jana.
Umecheza mpira au ulikuwa unafanya mazoezi ya kupunguza mafuta yaliyojazana mwilini mwako kwa kula mivyakula. Ungecheza mpira ungekuwa hapa muda huu. Hebu acha utani mkuu.

Acha kulinganisha mpira na vitu vya ajabu. Siku nyingine jiheshimu basi.
 
Kwa taarifa yako tu tangu england imechukuliwa na kocha Southgate imepoteza mechi moja tu dhidi ya Belgium tena kilichezeshwa kikosi cha pili. Huyo wilshere hajawahi kuwa sehemu ya kutumainiwa kwenye team ya England. Sasa hivi mpira sio majina. Mchezaji wa England ambae hakuitwa na angestahili kucheza kama si kusaidiana pale katikati na wengine ni mashine takatifu JONJO SHEVLEY kiungo kutoka Newcastle. Kwa sababu nyie mnaangalia majina sijui hata kama huyu mtu unamfaham au kujua walau nusu ya shughuli yake uwanjani.
Unaanza rekodi zako hizo kupoteza mechi moja, baada ya kuitizama mechi ya jana kiundani sasa zinahusiana vipi na performance ya timu kwa siku ya jana.Alafu kumbe unaelewa kwamba jana KIUNGO kilikufa na ndio maana umemtaja JONJO,mimi sijaangalia jina wala hizo rekodi zako ww nimeangalia performance ya siku ya jana.Sababu ya kuwa na rekodi nzuri haizuii timu kucheza mpira mbovu ,sasa jana wangefungwa England hiyo rekodi ingekuwa ina maana gani,RUSSIA frendly mechi kafungwa kibao lkn leo kaingia robo fainali WC.
 
Umecheza mpira au ulikuwa unafanya mazoezi ya kupunguza mafuta yaliyojazana mwilini mwako kwa kula mivyakula. Ungecheza mpira ungekuwa hapa muda huu. Hebu acha utani mkuu.

Acha kulinganisha mpira na vitu vya ajabu. Siku nyingine jiheshimu basi.
Labda wewe unayefanya mazoezi kwa ajili ya kutafuta appetite ya kula na kutengeneza six pack kwa ajili ya kuwalingishia madem.
 
Unaanza rekodi zako hizo kupoteza mechi moja, baada ya kuitizama mechi ya jana kiundani sasa zinahusiana vipi na performance ya timu kwa siku ya jana.Alafu kumbe unaelewa kwamba jana KIUNGO kilikufa na ndio maana umemtaja JONJO,mimi sijaangalia jina wala hizo rekodi zako ww nimeangalia performance ya siku ya jana.Sababu ya kuwa na rekodi nzuri haizuii timu kucheza mpira mbovu ,sasa jana wangefungwa England hiyo rekodi ingekuwa ina maana gani,RUSSIA frendly mechi kafungwa kibao lkn leo kaingia robo fainali WC.
England hajacheza mpira mbovu kihivyo Mbona kitakwimu Ya mchezo yuko Juu kila Idara
 
Tusiandikie mate wakati wino upo hebu kaangalie statistic livescores ,alafu fanya comparison na hiyo kauli yako.
 
Sasa niambie na uniachambulie hizi statistics. Hizo tabia za kuwa mnaangalia mpira mpaka world cup ifike mnatusumbua sana.

Hizi statistics zipo mtandaoni tangu game inaendelea na wafuatiliaji wa soka huwa tunazifuatilia kila baada ya dakika kadhaa. Ukiangalia hizo takwimu england kaongoza distribution na dribles. Kama kweli umecheza soka utakuwa unajua hizi kazi hufanya na watu gani uwanjani.

View attachment 802216
IMG_20180704_010320.jpg
IMG_20180704_010306.jpg
IMG_20180704_010253.jpg
IMG_20180704_010240.jpg
IMG_20180704_010226.jpg

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu acha utani ndugu yangu, wote tumetazama mechi. Sasa nakuwekea takwimu za mechi ya leo halafu kwa maoni yako uniambie team ipi ilikuwa na good overall performance.

View attachment 801971View attachment 801972View attachment 801973View attachment 801974View attachment 801975View attachment 801976

Sasa naomba uniambie hiyo colombia yenu ilikuwa vizuri wapi wakati katika almost kila kipengele kitakwimu wamezidiwa na england.
Unaweza ukawa na ball possision kubwa lakini ukawa huja perfom vizuri. Spain dhidi ya Russia walipiga zaidi ya pass 1500. Ramos pekee yake kapiga 150+. nyingi ya hizo ni back n wide passes. Kwa hiyo muda mwingi wanakuwa na mpira lakini hawatishi. So statistick uloweka hapo ni sawa ila Colombia walikuwa wanatisha wanapokuwa na mpira.
 
Mmh. Hapo kwa Russia sidhani Kaka.

Ila World Cup ya mwaka huu imekuwa tofauti mnooo huenda Russia akalitwaa na yeye.

Kabisa, nani alitegemea watatolewa mapema Arg,germany,spain! W/c ya mwaka huu ina maajabu yake ukhti 😀😀...kwa Brazil and Belgium sitoshangaa mmoja wao akipita maana wote wapo vizuri.
 
Unaweza ukawa na ball possision kubwa lakini ukawa huja perfom vizuri. Spain dhidi ya Russia walipiga zaidi ya pass 1500. Ramos pekee yake kapiga 150+. nyingi ya hizo ni back n wide passes. Kwa hiyo muda mwingi wanakuwa na mpira lakini hawatishi. So statistick uloweka hapo ni sawa ila Colombia walikuwa wanatisha wanapokuwa na mpira.
Kwahyo wewe umeona ball possession tu, mbona hujazungumzia statistics za duels na distribution ambazo huyo colombia kagalagazwa. Nyie hamna point za maana.

Sasa kama huyo spain alikuwa na ball possession kubwa na akafungwa na uingereza aliekuwa na ball possession kubwa pia na ameshinda nani bora?? , zote ni team sawa [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Tukutane Jmos
 
Hata mimi nimeumia ila kocha ni mzembe,huyu Mbappe alishaonyesha kua ni threat toka mwanzo ila alishindwa kumfanyia marking! angewekewa hata midfielder mmoja atembee nae.

The ICE...Hatumtaki huyu matatoo, hafai walai. Tim imejaza mastaa kuliko tim yeyote duniani alafu inatolewa mapema ivo!! Dybala na Aguero utawawekaje benchi! Kweli anaakili nzuri huyu kocha!!
 
Kabisa, nani alitegemea watatolewa mapema Arg,germany,spain! W/c ya mwaka huu ina maajabu yake ukhti 😀😀...kwa Brazil and Belgium sitoshangaa mmoja wao akipita maana wote wapo vizuri.
Yaani mie nikikaa najiwazia hiyo mechi yao itakuwaje sababu kwa mbaali nawaza jinsi nyasi zitakavyoumia.
 
Back
Top Bottom