Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Hata kama anajua kuliko Jesus lakini Kwa kadili ya Mahitaji ya Kocha Jesus ndiyo anahitajika kuanza na Firmino anaingia kama sub.Ila tuseme ukweli tu Firminho anajua zaidi ya Jesus.
Na uhakika nilio nao kesho Tite atamuanzisha Firminho trust me Shunie
Jesus anaweza kucheza kama kiuongo pia,Mechi na Mexico kipindi cha pili alikuwa pure kiungoSidhani tite anaangalia zaidi uwezo wa jesus kuweza kuwakaba mabeki wa team pinzani firminho ukabaji wake sio mzuri kesho tupo hapa atatokea benchi kama kawaida
Mashabiki maandaziMashabiki wa liver hao
Belgium walijamba Kwa Mjapan itakuwa Kwa Mbrazil?Siku ya leo ni boring sana kwa vile nimekuwa naangalia michezo ya zamani tu. Naisubiri kesho kwa hamu sana ingawa najua matokeo yote kuwa France na Belgium zitashinda! Mchezo mkali utakuwa ule kati ya Brazil na Belgium, lakini kunako dakika za mejeruhi, Brazil itajeruhiwa kwa 1-0, na wala hakutakuwa na extra time wala penalty kicks.
Mpira ungekua unaangaliwa hvyo basi hakika mpira ungekua mchezo rahisi sanaBelgium walijamba Kwa Mjapan itakuwa Kwa Mbrazil?
Subiri uone. Beligium ilikuwa imei-underate Japan sana hasa kwa vile Japan ilipita kwa msaada wa sheria za FIFA. Nadhani utakubaliana nami kuwa mabadiliko yaliyofanywa meneja wa timu kuwaleta tena Chadli na Fellaini kulibadilisha sana uelekeo wa mchezo mzima. Beligium illinuka kutoka 0-2 down hadi 3-2. Wangekuwa wameanza na upepo huo huo, basi Japan ingefungwa 5-0.Belgium walijamba Kwa Mjapan itakuwa Kwa Mbrazil?
Brazil inasimamisha MTU mmoja mbele ambaye ni GJ ,na pia GJ anaweza kukaba na kurudi ktk eneo lakeSiyo Lazima apangwe Firmino.Kama uliangalia ile mechi ya Brazil na Mexico utagundua kuwa Firmino anapaswa kutokea Sub.Jesus alicheza kama Striker lakini ukiangalia Kwa Makini alikuwa Striker wa Uongo,muda mwingi alikuwa anarudi katikati kuchukua mipira na kukaba.Then akina Neymar na Coutihno ndo wakawa kama Mastriker ndiyo maana hata Sub alitolewa Coutihno.Jesus akarudi nyuma.Na ndipo Firmino akafanya yake Kirahisi
Naam Mkuu nakuelewa tuko pamojaFirmino anaofa vitu vichache kuliko hao waliopangwa.Tatizo watu wanataka kuona Jesus anatupia magoli wakati hawajui Tite kawafundisha nini wachezaji wake
Mie Liverpool lkn ,namuelewa Tite kwa kumuanzisha GJMashabiki maandazi
Brazil ya sasa 2018 imechanganya samba na mpira wa ulaya ,hata kikosi,tofauti na Brazil ya 2010 ( iliyotufunga 5-1 taifa)- 2014 ,hii ya sasa inapobidi kucheza samba wanacheza ,inapobidi kucheza soka la ulaya wanacheza
Swadakta Mkuu [emoji106] [emoji106]kumbuka tite alifunga safari kwenda ulaya kujifunza mpira wa ulaya jamaa anapiga samba remix yani lazima ukae maana anakukaba halafu anakushambulia
Hahahaaa. Serious kiaje jamaani?Hahahhhh.. Haupo serious mkuu.
Huyo mbelgiji wako anakalishwa mapema tu kesho. Tusikimbiane tu humu[emoji3]
team[emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hahahh.. Poa bestHahahaaa. Serious kiaje jamaani?
Ujuagi kila mwamba ngoma ni lazima avutie kwake rafiki. Mie huwa nawahi kulala kisha naamka muda wa mechi hivyo sitakuwa hewani.
Ila kesho kutwa asubuhi utaniona humu wala sitakimbia rafiki. Labda weye. Ila mie iwe ushindi iwe kufungwa nitakuja huku. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Mie nasema Kamoja tu ndio saizi yenu ikizidi basi tunawapiga mbili.Hahahh.. Poa best
Ila leo lazima mpigwe hizoo 3..
tatuuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Haa haa mapema gwaride mmelianzaSesten Zakazaka najua weye siku zote ni team Brazil ila leo nasema jipange Kisaikolojia sababu utapata tabu sana.
Hahahaaa. Tenaaaaa. Yaani 21:00hrs naona mbali aiseee.Haa haa mapema gwaride mmelianza