Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Siku ya leo ni boring sana kwa vile nimekuwa naangalia michezo ya zamani tu. Naisubiri kesho kwa hamu sana ingawa najua matokeo yote kuwa France na Belgium zitashinda! Mchezo mkali utakuwa ule kati ya Brazil na Belgium, lakini kunako dakika za mejeruhi, Brazil itajeruhiwa kwa 1-0, na wala hakutakuwa na extra time wala penalty kicks.
 
Belgium walijamba Kwa Mjapan itakuwa Kwa Mbrazil?
 
Belgium walijamba Kwa Mjapan itakuwa Kwa Mbrazil?
Subiri uone. Beligium ilikuwa imei-underate Japan sana hasa kwa vile Japan ilipita kwa msaada wa sheria za FIFA. Nadhani utakubaliana nami kuwa mabadiliko yaliyofanywa meneja wa timu kuwaleta tena Chadli na Fellaini kulibadilisha sana uelekeo wa mchezo mzima. Beligium illinuka kutoka 0-2 down hadi 3-2. Wangekuwa wameanza na upepo huo huo, basi Japan ingefungwa 5-0.
 
Kesho Half time Jesus lazima akaoge JANABA mtaniambia,hii brazil hatari sana wanataka eti Firmino awe anaanza.Hatudanganyiki ng'o nasema hatudanganyiki,kesho mpira ukiwa unatua kwenye miguu ya wachezaji wa Brazil utatii sheria bila shurti
 
Siyo Lazima apangwe Firmino.Kama uliangalia ile mechi ya Brazil na Mexico utagundua kuwa Firmino anapaswa kutokea Sub.Jesus alicheza kama Striker lakini ukiangalia Kwa Makini alikuwa Striker wa Uongo,muda mwingi alikuwa anarudi katikati kuchukua mipira na kukaba.Then akina Neymar na Coutihno ndo wakawa kama Mastriker ndiyo maana hata Sub alitolewa Coutihno.Jesus akarudi nyuma.Na ndipo Firmino akafanya yake Kirahisi
Brazil inasimamisha MTU mmoja mbele ambaye ni GJ ,na pia GJ anaweza kukaba na kurudi ktk eneo lake
 
Brazil ya sasa 2018 imechanganya samba na mpira wa ulaya ,hata kikosi,tofauti na Brazil ya 2010 ( iliyotufunga 5-1 taifa)- 2014 ,hii ya sasa inapobidi kucheza samba wanacheza ,inapobidi kucheza soka la ulaya wanacheza

kumbuka tite alifunga safari kwenda ulaya kujifunza mpira wa ulaya jamaa anapiga samba remix yani lazima ukae maana anakukaba halafu anakushambulia
 
Hahahhhh.. Haupo serious mkuu.
Huyo mbelgiji wako anakalishwa mapema tu kesho. Tusikimbiane tu humu[emoji3]
team[emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Hahahaaa. Serious kiaje jamaani?

Ujuagi kila mwamba ngoma ni lazima avutie kwake rafiki. Mie huwa nawahi kulala kisha naamka muda wa mechi hivyo sitakuwa hewani.

Ila kesho kutwa asubuhi utaniona humu wala sitakimbia rafiki. Labda weye. Ila mie iwe ushindi iwe kufungwa nitakuja huku. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hahahh.. Poa best
Ila leo lazima mpigwe hizoo 3..
tatuuu[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wakuu msaada nataka song za world cup 2010 Africa Kwa madiba
 
Back
Top Bottom