[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hazard- leo usiwe na papara mipira yote naleta kwako
Mwalukaku-leo kazi kazi wale watoto laini laini sana tunawapiga 2View attachment 803582
Leo kazi ipo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kazzz juu ya kaz haa haaLeo kazi ipo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] l
Option ya kushindwa Brazil sijui kamaa ipo, mi najiandaa kukupokea na zawadi ya ushindi HajarHahahaaaa. Sitaki kuamini ukisemacho mpaka nijioneee Sesten.
Hahaaa. Zawadi tu mkishinda tu basi ujue umepata yaani kesho najileta mwenyewe na zawadi yangu huko. Teh teh teh.
Tukishinda sie je?
Hahaaa. Jidanganye tu Sesten labda nasema tena labda kama mtabebwa japokuwa kila nikangalia hii World Cup huwa mbeleko siioni.Option ya kushindwa Brazil sijui kamaa ipo, mi najiandaa kukupokea na zawadi ya ushindi Hajar
Ikitokea miujiza mkashinda nyie basi na mimi nitafanya kama wewe nitajileza na zawadi yako ya ushindi, hahahaaa
Ikitokea miujiza mkashinda mbona naileta mwenyewe kwa mikono miwili hiyo zawadi, utanielekeza tu wapi na sangapi😀😉😉Hahaaa. Jidanganye tu Sesten labda nasema tena labda kama mtabebwa japokuwa kila nikangalia hii World Cup huwa mbeleko siioni.
Nakusubiria hapa Hajar mie kwani najua utaileta zawadi tu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa. Lol. Hakuna cha muujiza hapoIkitokea miujiza mkashinda mbona naileta mwenyewe kwa mikono miwili hiyo zawadi, utanielekeza tu wapi na sangapi😀😉😉
Lukaku anajitambua..tatizo ni club yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Nilimpenda sana Lukaku ile game ya Japan hasa wakati wa lile goli la tatu , pale angekuwa mchezaji mwingine angetaka kujizolea sifa kwa kuivusha nchi yake kwa kumalizia ile pasi ya mwisho ila Lukaku wa watu akaipisha na kumuachia Chadli amalize kazi.
Hongera kwake.
Hiyo Man U? Ina tatizo gani kaka?Lukaku anajitambua..tatizo ni club yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni vita ya ukamilifu wa kiroho (no 7) dhidi ya ukalimifu wa kimwili (no 6)*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
*SASA ONA MAAJABU...*
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda
#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
Casemiro si ana kadi mbili za njano au?Mimi naomba tu niseme mapema hapa kuwa leo ndio mwisho wa Belgium.
Nikimuona Thiago Sliver. Pale nyuma sioni ni kwa namna gani Lukaku ataweza kutamba.
Nikimuona Casimiro kule kulia, sijui huyu hazard atapitia wapi.
Nikimuona Marcelo kule kushoto hapo napata tabu kujua huyu De bruyne atapitaje.
Company atakuwa na kibarua kizito sana cha kumzuia Neymar, wakati huo huo Vetolngen itabidi afanye kazi ya ziada kucheza na Willian la sivyo hapatatosha.
Huyu Paulinpho pale katikati sijui atakabika vipi wakati huo huo Fernandinpho akisumbua sana pale mbele.
Huku kushoto ndio kuna balaa lingine kabisaa la Cottinpho doh!
Leo Belgium watapata taabu saana.
Narudia tena watapata taabu saanaa..
Sielewagi haya mambo inakuwaje mpaka unakuwa iv jamanSawa masonic