Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hahahaaaa. Sitaki kuamini ukisemacho mpaka nijioneee Sesten.

Hahaaa. Zawadi tu mkishinda tu basi ujue umepata yaani kesho najileta mwenyewe na zawadi yangu huko. Teh teh teh.

Tukishinda sie je?
Option ya kushindwa Brazil sijui kamaa ipo, mi najiandaa kukupokea na zawadi ya ushindi Hajar

Ikitokea miujiza mkashinda nyie basi na mimi nitafanya kama wewe nitajileza na zawadi yako ya ushindi, hahahaaa
 
Hahaaa. Jidanganye tu Sesten labda nasema tena labda kama mtabebwa japokuwa kila nikangalia hii World Cup huwa mbeleko siioni.

Nakusubiria hapa Hajar mie kwani najua utaileta zawadi tu. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ikitokea miujiza mkashinda mbona naileta mwenyewe kwa mikono miwili hiyo zawadi, utanielekeza tu wapi na sangapi😀😉😉
 
Hahaaaa. Nilimpenda sana Lukaku ile game ya Japan hasa wakati wa lile goli la tatu , pale angekuwa mchezaji mwingine angetaka kujizolea sifa kwa kuivusha nchi yake kwa kumalizia ile pasi ya mwisho ila Lukaku wa watu akaipisha na kumuachia Chadli amalize kazi.

Hongera kwake.
Lukaku anajitambua..tatizo ni club yake[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018*

Mechi ni...

FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA

*SASA ONA MAAJABU...*

FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7

BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7

SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7

RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7

Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July

kwa ufupi ni 6 vs 7

... Usipokuwa na imani strong utajua *Free Mansons* wanaendesha world cup!

Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...

Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda

#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
 
Ni vita ya ukamilifu wa kiroho (no 7) dhidi ya ukalimifu wa kimwili (no 6)
Ukuu wa mbingu dhidi ya ukuu wa anga
 
Liko wazi timu ulizochagua ktk karatasi zimepewa ushindi ngoja tuone ndani ya dakika 90
 
Mimi naomba tu niseme mapema hapa kuwa leo ndio mwisho wa Belgium.
Nikimuona Thiago Sliver. Pale nyuma sioni ni kwa namna gani Lukaku ataweza kutamba.
Nikimuona Casimiro kule kulia, sijui huyu hazard atapitia wapi.
Nikimuona Marcelo kule kushoto hapo napata tabu kujua huyu De bruyne atapitaje.

Company atakuwa na kibarua kizito sana cha kumzuia Neymar, wakati huo huo Vetolngen itabidi afanye kazi ya ziada kucheza na Willian la sivyo hapatatosha.
Huyu Paulinpho pale katikati sijui atakabika vipi wakati huo huo Fernandinpho akisumbua sana pale mbele.
Huku kushoto ndio kuna balaa lingine kabisaa la Cottinpho doh!
Leo Belgium watapata taabu saana.
Narudia tena watapata taabu saanaa..
 
MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018

Mechi ni...

FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA

SASA ONA MAAJABU...

FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7

BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7

SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7

RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7

Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July

kwa ufupi ni 6 vs 7

... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!

Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...

Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda

#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!

Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz

...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
 
Mimi naomba tu niseme mapema hapa kuwa leo ndio mwisho wa Belgium.
Nikimuona Thiago Sliver. Pale nyuma sioni ni kwa namna gani Lukaku ataweza kutamba.
Nikimuona Casimiro kule kulia, sijui huyu hazard atapitia wapi.
Nikimuona Marcelo kule kushoto hapo napata tabu kujua huyu De bruyne atapitaje.

Company atakuwa na kibarua kizito sana cha kumzuia Neymar, wakati huo huo Vetolngen itabidi afanye kazi ya ziada kucheza na Willian la sivyo hapatatosha.
Huyu Paulinpho pale katikati sijui atakabika vipi wakati huo huo Fernandinpho akisumbua sana pale mbele.
Huku kushoto ndio kuna balaa lingine kabisaa la Cottinpho doh!
Leo Belgium watapata taabu saana.
Narudia tena watapata taabu saanaa..
Casemiro si ana kadi mbili za njano au?
 
Back
Top Bottom