Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018

Mechi ni...

FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA

SASA ONA MAAJABU...

FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7

BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7

SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7

RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7

Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July

kwa ufupi ni 6 vs 7

... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!

Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...

Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda

#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!

Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz

...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
Ha ha ha ha ha si mchezo, Na mimi utabiri wangu nauweka vice versa kwamba leo zitashida Team zenye herufi 7 halafu kesho ndio zitashinda Team zenye herufi 6.
 
Huu hapa
Screenshot_20180706-114750.jpg
 
Maajabu yako wapi sasa hapo?
Ingieni mkenge ndio mtajuwa kwa nini Juventus ilishushwa daraja Italy licha ya kuwa mabingwa.
Haya ndio mambo yanayosababisha tajiri kuwa maskini kwa dakika 90 tu. Waacheni Mabilionea wafirisiane wenyewe hapo wanaingizwa watu king.
 
MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018

Mechi ni...

FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA

SASA ONA MAAJABU...

FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7

BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7

SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7

RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7

Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July

kwa ufupi ni 6 vs 7

... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!

Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...

Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda

#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!

Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz

...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
😱😱😱😱 poooouwa
 
Back
Top Bottom