Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Dah! Nakusikitikia sana mtoa mada, Leo nahisi utolala kwa raha kwa iufikilia ile mvua ya magoli mtakayovurumishiwa na Ubelgiji, leo ni muda wa lukaku kulingana kimagoli na harry kane the great.

Waombe Neema aendelee kujiangushangusha 😀😀😀 otherwise kipigo kitawahusu.
 
Ondoa wasiwasi kabisa mechi ni nyepeeesi sana leo
 
IMG_20180706_152615_696.jpg
 
Kuna Gazeti Moja Huwa Linaandika Sana Mahesabu Haya. Huyo Mwandishi Atakuwa Ameiona Hesabu Hiyo. Ni Namba Ya Shetani Na Mungu.
 
Timu belgium hapa.

baada ya kushuudia mwisho wa ronaldo na messi, sasa leo tunaenda kuuona mwisho wa neymar kwenye michuano hii.
 
Mimi naomba tu niseme mapema hapa kuwa leo ndio mwisho wa Belgium.
Nikimuona Thiago Sliver. Pale nyuma sioni ni kwa namna gani Lukaku ataweza kutamba.
Nikimuona Casimiro kule kulia, sijui huyu hazard atapitia wapi.
Nikimuona Marcelo kule kushoto hapo napata tabu kujua huyu De bruyne atapitaje.

Company atakuwa na kibarua kizito sana cha kumzuia Neymar, wakati huo huo Vetolngen itabidi afanye kazi ya ziada kucheza na Willian la sivyo hapatatosha.
Huyu Paulinpho pale katikati sijui atakabika vipi wakati huo huo Fernandinpho akisumbua sana pale mbele.
Huku kushoto ndio kuna balaa lingine kabisaa la Cottinpho doh!
Leo Belgium watapata taabu saana.
Narudia tena watapata taabu saanaa..
Hahahaaa. Kuumbe. Mie nasema mtapata tabu sana narudia tabu sana.

Sesten Zakazaka njoo uone mshabiki mwenzio wa Brazil huku naye anajifariji.
 
Tutachomoka ndugu yangu msianze magundu jamani huku tuna mikeka yetu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni swala la muda tu
Hahaaaa. Dadaaaa.

Sijui kama mtachomoka leo. Ila tusubiri tuone.
 
Tutachomoka ndugu yangu msianze magundu jamani huku tuna mikeka yetu jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni swala la muda tu
Hahahaaa. Nimecheka jamaani lol.

Haya dada kama una mkeka wako acha nikupe moyo ila kama ni nje ya hapo muandike maumivu tu.

Kila la kheri ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom