Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tutakutana hapahapa
Hahahaaa. Nimecheka jamaani lol.

Haya dada kama una mkeka wako acha nikupe moyo ila kama ni nje ya hapo muandike maumivu tu.

Kila la kheri ndugu yangu.
 
AFE KIPA AFE BEKI BRAZIL USHINDI LEO NI LAZIMA[emoji3]
[emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Brazil kuna Coutihno,Wilian,Neymar,kule mastaa ni wengi
Ujue mpira huwa hauna cha mastaa na pia unaeza shangaa leo wakawa si lolote si chochote na mwishowe Brazil ikawa mboga kwa Belgium.

Ila tusubiri tuone na pia usisahau kuna vigogo vilivyotangulia kilaini kutolewa nje ya mashindano pasi kutegemea.
 
Timu zenye namba ambazo hazigawanyiki ndio zina possibility kubwa ya kushinda Leo ushindi mwembamba au Wa mbinde
 
Kama FIFA hawatajali entry fees na betting walizocheza, basi BRA anapigika kilaiiini mno.....
 
Back
Top Bottom