Mimi naomba tu niseme mapema hapa kuwa leo ndio mwisho wa Belgium.
Nikimuona Thiago Sliver. Pale nyuma sioni ni kwa namna gani Lukaku ataweza kutamba.
Nikimuona Casimiro kule kulia, sijui huyu hazard atapitia wapi.
Nikimuona Marcelo kule kushoto hapo napata tabu kujua huyu De bruyne atapitaje.
Company atakuwa na kibarua kizito sana cha kumzuia Neymar, wakati huo huo Vetolngen itabidi afanye kazi ya ziada kucheza na Willian la sivyo hapatatosha.
Huyu Paulinpho pale katikati sijui atakabika vipi wakati huo huo Fernandinpho akisumbua sana pale mbele.
Huku kushoto ndio kuna balaa lingine kabisaa la Cottinpho doh!
Leo Belgium watapata taabu saana.
Narudia tena watapata taabu saanaa..