fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Hawana nidham ya mchezo hao unaonitajiahahahaha Uruguay anashnda ww
France yupo vzr sana trust mi ila wasiwasi wangu fainal itachezwa kabla ya fainal yenyeweOkay ngoja tuone kama italingana ila france sina hakika sana kwa Brazil mia mia huenda mambo yakaenda vizuri upande wao
Ha ha ha ha ha si mchezo, Na mimi utabiri wangu nauweka vice versa kwamba leo zitashida Team zenye herufi 7 halafu kesho ndio zitashinda Team zenye herufi 6.MAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018
Mechi ni...
FRANCE vs URUGUAY
BRAZIL vs BELGIUM
SWEDEN vs ENGLAND
RUSSIA vs CROATIA
SASA ONA MAAJABU...
FRANCE ina herufi 6
URUGUAY ina herufi 7
BRAZIL ina Herufi 6
BELGIUM ina Herufi 7
SWEDEN ina herufi 6
ENGLAND ina Herufi 7
RUSSIA ina herufi 6
CROATIA ina herufi 7
Mechi zitachezwa tarehe 6 & 7 July
kwa ufupi ni 6 vs 7
... Usipokuwa na imani strong utajua Free Mansons wanaendesha world cup!
Ajabu zaidi... team zote zilizo upande wa kushoto katika kila mechi ambazo zilianza kuingia robo fainali zina herufi 6 afu za upande wa kulia ndo zina herufi 7...
Wazee wa ku-bet chukueni hii
[emoji116]
Leo ni tar 6 timu zenye herufi 6 (France and Brazil) zitashinda,, kesho ni tar 7 timu zenye herufi 7 (England na Croatia) zitashinda
#Sa iv sitaki kutabiri kwa kutumia utashi,, nipo kifreemanson zaidi!
Mods naomben huu uzi msije kuunganisha plz
...[emoji41][emoji41][emoji41][emoji1054][emoji1054][emoji1054]
2
Ah ah ah ah iyo ela yako nipe tuuuuHa ha ha ha ha si mchezo, Na mimi utabiri wangu nauweka vice versa kwamba leo zitashida Team zenye herufi 7 halafu kesho ndio zitashinda Team zenye herufi 6.
Kumi na moja Baba Mzazigemu ya Kwanza itapigwa saa ngapi?
😱😱😱😱 poooouwaMAAJABU YA ROBO FAINALI YA FIFA WORLD CUP 2018