Hahahaaa. Nimecheka jamaani lol.
Haya dada kama una mkeka wako acha nikupe moyo ila kama ni nje ya hapo muandike maumivu tu.
Kila la kheri ndugu yangu.
Ujue mpira huwa hauna cha mastaa na pia unaeza shangaa leo wakawa si lolote si chochote na mwishowe Brazil ikawa mboga kwa Belgium.Brazil kuna Coutihno,Wilian,Neymar,kule mastaa ni wengi
Tulia tu uone Samba Hajar, tusiandikie mate wakati wino umejaa tele kwa tele, naimani ahdi yako bado waikumbukaHahahaaa. Kuumbe. Mie nasema mtapata tabu sana narudia tabu sana.
Sesten Zakazaka njoo uone mshabiki mwenzio wa Brazil huku naye anajifariji.
Mpira ukiujua umeshaujua,na Brazil wanaujua Brazil.Leo ni LeoUjue mpira huwa hauna cha mastaa na pia unaeza shangaa leo wakawa si lolote si chochote na mwishowe Brazil ikawa mboga kwa Belgium.
Ila tusubiri tuone na pia usisahau kuna vigogo vilivyotangulia kilaini kutolewa nje ya mashindano pasi kutegemea.
Firmino leo angeanza badala ya Gabriel Jesus. Belgium leo katikati watapoteana maana ule utatu wa paulinho, fernandinho na willian ni hatari sana.Brazil kuna Coutihno,Wilian,Neymar,kule mastaa ni wengi
Kama kuendesha gari au basikeli, ukishajua umejua tu mkuuMpira ukiujua umeshaujua,na Brazil wanaujua Brazil.Leo ni Leo
Hahahaaaa. Tusubiri tuone Mkuu.Mpira ukiujua umeshaujua,na Brazil wanaujua Brazil.Leo ni Leo
Hatumwi mtoto dukani leoHahahaaaa. Tusubiri tuone Mkuu.
Msije badilisha maneno tu.
Kabisaaaaaa. Haezi tumwa aiseeee.Hatumwi mtoto dukani leo
Hahahaaaaa. Dk 90 ndio zitaongea best.Belgium watake wasitake brazil ushindi leo ni lazima..
Japo mechi kidoogo itakuwa ngumu.[emoji3]