Hahahaaa. Utasema mengi mpira ukiisha.Mmh mi wala sisemi mengi hapa
Yupo mbona.Mbona simuoni Mbappe, au macho yangu hayaoni vizuri
Ngoja nicheke kingereza😀😀[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] jifariji tu Sesten.
Sawa tusubiri Mkuu. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Basi sawa mamii na tusubirie tuone maana ni muda mchache tu hivi umesalia mbivu na mbichi zijulikane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka usiwe na hofu kabisa hautachanika badae mkeka wangu upo kwa Brazil yanguMkuu Shunie mikeka mingi niliyokuona umekalia, ilichanika.
Leo nipo team France ila uwepo wako kwenye huu mkeka umenipa hofu 🙂🙂🙂
Poa poa HajarSawa tusubiri Mkuu. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Haya ukishacheka uje unifundishe na mie Sesten.Ngoja nicheke kingereza😀😀
Sikuwahi kuangalia kupitia TBC tangu michuano ianze, leo Supersport imetugomea. Tumeamua kujipoza TBC.Yupo mbona.
Ooh. Yupo.Sikuwahi kuangalia kupitia TBC tangu michuano ianze, leo Supersport imetugomea. Tumeamua kujipoza TBC.
Iko hovyo kweli hadi sijamuona Mbappe hadi sasa
Yaani mpaka napata hofu aiseee. Ila tusubiri tuone rafiki.Mmh Hawa Uruguay wameanza kwa kasi sana na wakipata goli hawa basi france wamekwisha mana wanaukuta mkali sana hawa.
Dah! Hii hatari hii
Yaani. Acha tu Mkuu.Uruguay kaanza na kasi