Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Huyu Refa anaonekana kama anaweza kumtia mtu makofi sasa hivi. Hasa mchezaji yoyote wa Uruguay atakeyeleta ujinga.
 
Subiri uone mkuu Belgium mmoja atakula red baada ya kkunyanyaswa sana na Brazil
Hahahaaa. Kwani tangia Kombe la dunia lianze mwaka huu ni timu gani mchezaji alipata red kutokana na kunyanyaswa na Brazil.

Hebu nikumbushe ili nijiridhishe kwamba na leo itajirudia Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…