Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Uruguay wanacheza kujilinda zaidi na kutegemea counter attack.
Kukosekana kwa Cavani kunampa tabu Suarez.

Ufaransa wanapasi za uhakika lakini hawana mbinu za kupita safuya ulinzi.
Goli lilitokana na mpira wa kupiga na si mbinu ya kupita

Uruguay watakwenda mbele kujaribu kurudisha goli, inaweza kukutana na counter attack ya ufaransa ikawa tabu. Wanapaswa kuwa makini sana kwani kwenda mbele kutavunja safu ya ulinzi na hapo akina Mbappe wanaweza kuleta madhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…