Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Mfyuuuu[emoji58][emoji58][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfyuuuu[emoji58][emoji58][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umtiti siyo wa Kigoma.kweli huyu jamaaUmtiti [emoji16][emoji16][emoji16] hili jina nalipenda
Yaan sijui nimevurugwa na nnRaphael Varane
Hv Bado cjakutambulisha kwake
Bra kama kawa Mzee baba
Suarez nzuri mpira ya kupitisha ,sasa France wameblock hy mipira ,lzm apoteeNo, Suarez bila Messi anakuwa kama dadaake tu .
Deal???Ninakula hela kirahisi kabisa kama una bet hivyo, weekend yangu itaanza vizuri kabisa.
Hii Golden Generation ya Belgium haitamuacha mtu salama leo
Ebu bet basi tugawane badaeMfyuuuu[emoji58][emoji58]
Umtiti siyo wa Kigoma.kweli huyu jamaa
Kipindi cha pili watafungwa jingine Kwa kaunta attackDakika za mwisho za kipindi hiki Uruguay wameshambulia sana, na sababu ni kuwa safu ya ulinzi imepungua ili kusaidia mashambulizi mbele. Wangecheza hivi kuanzia mwanzo huenda mambo yangekuwa tofauti. Hofu yao ilikuwa kufungwa kwanza. Baada ya kufungwa hofu imewatoka na sasa wanashambulia kurudisha
Uruguay ni wazuri wa mipira ya juu na kona, na hilo linaweza kuwagharimu Ufaransa
Nibetishe na yule mdogoako cheupe[emoji16]Ebu bet basi tugawane badae
Deal???
Nibetishe na yule mdogoako cheupe[emoji16]
Deal.....tunabet nini kwanza?
Kipindi cha pili watafungwa jingine Kwa kaunta attack
Si mahela jamani
Kiasi gani?
Ila bado ajasepa ni rumours tuuHuyu Pavard yuko vizuri ni very attacking minded full back.
Mourinho angemsaini huyu kama mrithi wa veterani Antonio Valencia. Sema ndio kashaenda Bayern Munich