Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,257
Brazil huyo kama mm[emoji16][emoji16][emoji16]
Brazil anatoka leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brazil huyo kama mm[emoji16][emoji16][emoji16]
Brazil anatoka leo
We unachukua kombe ,Brazil tuko wote ila niliacha kuvaa jezi zao toka zile saba na German 2014Nina team mbili England na blazil
njooNaomba kubet na mtu cha SAA 3[emoji16]
hahaha [emoji23]Hatokiiiiii nipo hapa naweza hata kubet na mtu
Kombe tunalichukua nilikuwa na team 3 toka WC imeanza ikiwepo urenoWe unachukua kombe ,Brazil tuko wote ila niliacha kuvaa jezi zao toka zile saba na German 2014
mi tokea 1998 sina hamu nao, niko nashangilia timu ya waafrica isiyo na ubaguzi FRANCEWe unachukua kombe ,Brazil tuko wote ila niliacha kuvaa jezi zao toka zile saba na German 2014
Hahhahaa kweli kaka eti Brazil anatoka anaanzaje kutokahahaha [emoji23]
Duh, mm ni Brazil tu,wakitoka na mm natokaKombe tunalichukua nilikuwa na team 3 toka WC imeanza ikiwepo ureno
anaweza kutoka asipokuwa makini, [emoji23] ,, brazil nliacha kushangilia 1998 tulipopigwa na france 3 kwa kalaiHahhahaa kweli kaka eti Brazil anatoka anaanzaje kutoka