Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Dakika za mwisho za kipindi hiki Uruguay wameshambulia sana, na sababu ni kuwa safu ya ulinzi imepungua ili kusaidia mashambulizi mbele. Wangecheza hivi kuanzia mwanzo huenda mambo yangekuwa tofauti. Hofu yao ilikuwa kufungwa kwanza. Baada ya kufungwa hofu imewatoka na sasa wanashambulia kurudisha

Uruguay ni wazuri wa mipira ya juu na kona, na hilo linaweza kuwagharimu Ufaransa
 
Naona kama VAR haitumiki sana. Diego Godin amevutwa bukta ndani ya box la penalt lakini naona kama referee wamepotezea. Tukio kama hili liliwapa england tuta dhidi ya Colombia.

Game HT. France wanaongoza 1-0.
 
Kipindi cha pili watafungwa jingine Kwa kaunta attack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…