Naomba kubet na mtu cha SAA 3[emoji16]
Mie ni Kashasha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unajaribu kurithi mikoba ya Sheikh Yahya
We ni timu gani ktk hii WCNgoja aje nimemjibia tu mm
Mie nipo hukohuko france..Ndio nacheck hapa niko France aiseee. Wewe je?
We ni timu gani ktk hii WC
[emoji1483]upo team gn tonight?
Ngoja aje nimemjibia tu mm
Umtiti [emoji16][emoji16][emoji16] hili jina nalipenda
Sawa ngoja tuone.Uruguay wanarudi kusawazisha trust me
Huyu Mbape kwa kweli huyu dah! Aje tu darajani huyu.
Haha uchokozi huo sasa!Suarez anaweza kung'ata
Kuwa upande wangu ule 10%
Suarez anaweza kung'ata
Aje tu pale kuna Hazard nadhani itakuwa poa sana.Mmeanza