Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Pamoja na kuwa nyuma kwa 2, mtu yoyote asidhani ngoma imekwisha. Bado kabisa

Mkuu una moyo sana, utabiri wako unaweza kuwa wa ukweli ila sioni juhudi za kurudisha magoli kutoka kwa Uruguay, labda mchezaji wa France ale kadi nyekundu
 
Suarez kapooza sana leo kule mbele, kweli kabisa Cavan anakuwa na mshikemshike sana kule mbele

Sasa naona pengo la Sheikh Yahya halipo tena, viatu vimekutosha kabisa.... ohhh sorry Mwalimu Kashasha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…