1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
acha wafungwe nipige ela mie,,Greizmaaaaaan, uzembe wa kipa unaponza Uruguay
wazee wa betting
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha wafungwe nipige ela mie,,Greizmaaaaaan, uzembe wa kipa unaponza Uruguay
Kabisa, anawapandisha ndege wenzake. Mbili bila ni ngumu kuchomoa kulingana na beki ya France ilivyoMshuti wa moto uleeeeee
Mkuu, hii App inaitwaje? Je ina basketball pia? Au football pekee
Hatokiiiiii nipo hapa naweza hata kubet na mtu
Sio rahis ata kdgUruguay safari imeiva, Ufaransa utani utani mara wanachukua Kombe
Nadhani tupo pamoja.Uruguay akiwepo Cavan ndiyo Huwa anaforce sana akisaidiana na Luis Suarez
aya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio leo sasa
Inaitwa sofascore, ndio ina basketball piaMkuu, hii App inaitwaje? Je ina basketball pia? Au football pekee
Pamoja na kuwa nyuma kwa 2, mtu yoyote asidhani ngoma imekwisha. Bado kabisa
Sio rahis ata kdg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Suarez kapooza sana leo kule mbele, kweli kabisa Cavan anakuwa na mshikemshike sana kule mbele
Sasa naona pengo la Sheikh Yahya halipo tena, viatu vimekutosha kabisa.... ohhh sorry Mwalimu Kashasha
ule wa motoooo,
mkeka wangu unaendelea vyema
Mwaka huu ni mwaka mzuri wa kuishabikia Brazil
kabisaaaaHahahhah kumbe tupo wengi
Ufaransa siyo Japan ilePamoja na kuwa nyuma kwa 2, mtu yoyote asidhani ngoma imekwisha. Bado kabisa