1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
turubai hilo hahaha[emoji23]Huo mkeka..jamvi??[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimesoma mahali flani, wanasema kipa wa Uruguay kabet pesa nyingi sana. Kwahiyo hizi ni jitihada asichane mkeka wake
Am in love with Mbappe wallah
Ouzzzerrr[emoji23][emoji23][emoji23]turubai hilo hahaha[emoji23]
Mahela tunapeanaje ndio shida ...
sanaaa mkuuNaona una raha sana leo mkuu.
AnawasalimiaView attachment 803824
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Namshangaa mm anamtaka tena
we mhuniii upo? hii kitu over inatoaAnawasalimiaView attachment 803824
Watu na bahati zao, naona chenga zimempatia Mbape mwana wa Magufuli huku.Am in love with Mbappe wallah
France anakutana na Brazil semi-final?