Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Nimesoma mahali flani, wanasema kipa wa Uruguay kabet pesa nyingi sana. Kwahiyo hizi ni jitihada asichane mkeka wake

Hahaha... utasababisha huyo kipa apate death threats kutoka kwa wanazi wa Uruguay
 
Anawasalimia
IMG_20180706_184901_736.jpg
 
Yaani dakika ya 92 mtu ndio anafanyiwa sub ? Mi ndio kama mchezaji kocha ananiambia niingie mida hiyo mi siingii. Yaani dakika 90 zote ukuniona ndio unaniona sasa hivi ?
 
Back
Top Bottom