Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Hili toto lisije kua buluju[emoji23] [emoji23][emoji28] View attachment 803827
Fara sana hili totoView attachment VID-20180706-WA0004.mp4View attachment VID-20180706-WA0003.mp4Hili toto lisije kua buluju[emoji23] [emoji23]
Hahaha maneno ya Mzee Kashasha terminology zake za football..
Anasema hilo goli la pili linaitwa b-buster.Anajua kutochota uyu mzee
Low blockbuster!Anasema hilo goli la pili linaitwa b-buster.
Namhurumia huyu Brazilian facial yani career yake kwa huu uchezaji wake anasafari ndefu. Hapambani kama wenzake akina Mesi na Ronaldo ijapokuwa wametoka. Yeye analeta show game za kipuuzi, anafanya masihara wakati wenzake wanafanya kweli. Watu wanataka kombe ye anafanya mambo ajabu ajabu.Fara sana hili totoView attachment 803835View attachment 803836
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14]Watu na bahati zao, naona chenga zimempatia Mbape mwana wa Magufuli huku.
Hivi huyu jamaa ana meno?Hahaha maneno ya Mzee Kashasha terminology zake za football..
Pogba huyu wa france yupp poa sana kuliko wa manu, mourinho amtumie kama deschamp anavyomtumia.
Kumefungwa, hamna mtu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unasikiaje maneno ya watu bila kuhakikisha
Ananikosha hatarii yaanWoooooooozeeerrrr. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Unajua hizi terminology huwa zinatisha sana kwa watu ambao si wafuatiliaji ila ni maneno ya kawaida ndiyo maana huyu Kashasha ana wachota sana watu.Anajua kutochota uyu mzee
Ananikosha hatarii yaan
Kumefungwa, hamna mtu.