tbc wampe nafasi zaidi dr liki hawa akina dada wanafanya nini hapa
Wacha aendelee na upuuzi akina mbappe watamwacha kama amesimama, ashaonywa na wakongwe akina can7onaView attachment VID-20180703-WA0024.mp4Namhurumia huyu Brazilian facial yani career yake kwa huu uchezaji wake anasafari ndefu. Hapambani kama wenzake akina Mesi na Ronaldo ijapokuwa wametoka. Yeye analeta show game za kipuuzi, anafanya masihara wakati wenzake wanafanya kweli. Watu wanataka kombe ye anafanya mambo ajabu ajabu.
😀😀😀😀...hahahaha we jamaa Mungu anakuona Mimi sipo.Hivi huyu jamaa ana meno?
Leo kuna comeback ya ukweli kabisa urg 3 - 1 frc
Poleni sana wakuuUruguay wanarudi kusawazisha trust me
Wanataka usawa ila huyu dada wanamuita kocha sioni anachochambua. Ila haka katangazaji mpaka kiunoni kimuonekano kako vizuri, sijui huko mwili unakoendelea kukoje.tbc wampe nafasi zaidi dr liki hawa akina dada wanafanya nini hapa
Kwa hali hii huyu Mbape hafai kuendelea kuwepo kwenye WC kabisaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14]
Heeee kathiasiiiiMnapeana nini?
Hiyo Sofascore iko poa sana, kila aina ya mchezo ipo.Mkuu, hii App inaitwaje? Je ina basketball pia? Au football pekee
Hayo maneno tu..ila wachezaji wote wa kipindi hiki wanafanana,ukitoa messi na ronaldo..kumbe uko nondo kuchambua mpira,,
brazil ndipo wanapoteleza hapo,,
naskia kule brazil wanaoujua mpira wako gerezani na mahabusu,, asa wakiachiwa na ukiwakuta wanausakata noma sanaaaa, watoto wa kihuni ndo wanaujua mpira, asa awa wa kina neymar mmnnh,, brazil ilikuwa ile ya kina gaucho+rivaldo+ronaldo,, ila siku hizi wamejaa wanyoa viduku na wang'ata lips,,[emoji23] [emoji23]
Huyo leo hawezi fanya lolote, kwa mabeki wale wa Brazil hawezi kupenya pale.Lukaku nipigie huyo neymar
hahaa muda umejibu utabiri wakoNATABIRI KOMBE LITAENDA SPAIN INGAWA MIMI SI MPENZI WA MPIRA KIVIIIIILE!
si unajua ilo story inoge, lazime tutie udambwiudambwi[emoji23]Hayo maneno tu..ila wachezaji wote wa kipindi hiki wanafanana,ukitoa messi na ronaldo..
Proffesionalism...Yaani dakika ya 92 mtu ndio anafanyiwa sub ? Mi ndio kama mchezaji kocha ananiambia niingie mida hiyo mi siingii. Yaani dakika 90 zote ukuniona ndio unaniona sasa hivi ?
mkuu ila hii game tytHuyo leo hawezi fanya lolote, kwa mabeki wale wa Brazil hawezi kupenya pale.
Napigia mstariPoleni sana wakuu
wape poleePoleni sana wakuu