2-0 Brazil kafaaMatokeo vp jmn nipo mbali na banda la kideo
Neymar ni mchezaji mwenye kipaji kikubwa sana, tatizo ana ujinga ujinga mwingi, wengine wanaita utoto. Hadi anakera.Anajiaharibu .. kila mtu anajua uwezo wa Neymar.
Ameshinda njaa.hahahaha Uruguay anashnda ww
Mh, mbona sisikii watu wakishangilia2-0 Brazil kafaa
Niwekosa hapaAlmanusraaaa goli la tatu liingie....
Washangilieje mtu mzima kufa namna hiiMh, mbona sisikii watu wakishangilia
Poa poa mkuuBaada ya dk 90 ndio ntaamin hichi nnacho kiona uwanjan
hahaa neema amezidisha mapozi na madoidoNeymar ni hasara
Wewe upo team gn hivi.Neymar mtoto wa kujiangusha
Wee brazil wamelala mbili kweli?Washangilieje mtu mzima kufa namna hii
Nadhani chini ya 18Neymar ana miaka mingapi wadau?