Na amefanya kweli..kama nilivyomuagizaLukaku nipigie huyo neymar
Marcello kwa Brazil alikuwa mzuri. Neymar kujiangusha, dah yaani ninamtoa thamani sana kwa hilo.Courtois kwangu mimi ndio man of the match
ila kama siyo brazil walivyojifunga wenyewe goli la kwanza kwa sababu limewanyima opportunity hata ya kwenda dakika 30 za ziada!![emoji30][emoji30][emoji30]Hapo tunasema umejifunga mwenyewe
Mpira penda lakini penda kiasi, nilikuwa mpenzi wa mpira sana nikifungwa moyo ulikuwa unawaka moto vibaya, brother wangu akanishauri nitafute kitu kingine ambacho kitakuwa burudani kwangu. Nikaangukia kwenye movie. Mkuu mpira upende kati kwa kati.Ahsante kaka roho inauma,huko mie siko tena
Mie huwa nakuaga na timu moja tu Brazil pekee yake ktk WC,mpira naupenda mno ,cz nimewahi kuonja matunda yake Mkuu japo kdgMpira penda lakini penda kiasi, nilikuwa mpenzi wa mpira sana nikifungwa moyo ulikuwa unawaka moto vibaya, brother wangu akanishauri nitafute kitu kingine ambacho kitakuwa burudani kwangu. Nikaangukia kwenye movie. Mkuu mpira upende kati kwa kati.
Stupid dude yule Neymar mpira wa kazi hana kabisa aliyeleta mabadiliko ni Costa yule, namba 7 wao kipindi cha pili.brazil ansanteni kwa kushiriki. Neema 2022 atakuwa mzee tayari hii itakuwa WC yake ya mwisho amezidi mapozi...
Eti!"Hammaz, post: brother wangu akanishauri nitafute kitu kingine ambacho kitakuwa burudani kwangu.
Aaa ah! kuumbe! movie nzuri kwakweliNikaangukia kwenye movie
Kabisa mkuumkuu pole sana, aiseeh,,
ila tumeinjoy football
Chochote kinaweza kutokea world cup hii ilojaa maajabu wacha tuone kesho na waswidish itakuwaje dua zako mzee mwenzangu zinatuhusu.
Ahsante sana.Na wewe pia mkuu