Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Limebaki ulaya tayari.

talk less, play more!

DhcpnDaV4AUgjHk.jpg
 
Ahsante kaka roho inauma,huko mie siko tena
Mpira penda lakini penda kiasi, nilikuwa mpenzi wa mpira sana nikifungwa moyo ulikuwa unawaka moto vibaya, brother wangu akanishauri nitafute kitu kingine ambacho kitakuwa burudani kwangu. Nikaangukia kwenye movie. Mkuu mpira upende kati kwa kati.
 
Mie huwa nakuaga na timu moja tu Brazil pekee yake ktk WC,mpira naupenda mno ,cz nimewahi kuonja matunda yake Mkuu japo kdg
 
Wale wapenzi wa Brazil poleni na wazee wamikeka usiku mwema, namuona mhindi anavyozikusanya.
 
Back
Top Bottom