Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Mkuu Timu za Ulaya Kwa kukaba ni shida,mpira ukiwa upande wa Brazil unakuta beki ya Belgium ni kama Misitu pa kupita hamna.Neymar anafosi kupita kwenye Msitu ananyang'anywa kirahisi
Mbona Neymar alidhibitiwa na Murier tu, neymar anakipaji cha kukimbia na mpira tu na anaigharimu sana team yake yule mpumbavu
 
Umenena.kweli mkuu watu safari hii waliingia kazini
 
Mbona Neymar alidhibitiwa na Murier tu, neymar anakipaji cha kukimbia na mpira tu na anaigharimu sana team yake yule mpumbavu
Kulikuwa kuna kamsitu mkuu halafu beki za Ubelgiji zilijipanga vizuri huku viungo wao Hazard na De Bruyne wakifanya maajabu.Cha kushangaza hadi Fellaini jana aling'ara.Ila nilimmiss mno Casemiro jana
 
Mbona Neymar alidhibitiwa na Murier tu, neymar anakipaji cha kukimbia na mpira tu na anaigharimu sana team yake yule mpumbavu
Timu za America kusini wasitegemee vipaji tu inabidi Timu zicheze kitimu zaidi
 
Kwanza asingemweka Neymar maana siyo game changer yule mpumbavu anajua kufanya madoido ya kishenzi tu na kudive wakati team inahitaji matokeo.
 
Hana madhara anaweza akaingia kwenye 18 yeye na golikipa akataka afunge kwa kutumia matako ili aonekane kwenye TV Ujinga mtupu
 
Kukosekana Kwa Casemiro kuliicost pia Brazil kiungo jana kipindi cha kwanza kilipwaya mno.Japan walikuwa wajanja sana waliweza kuwadhibiti Ubelgiji vizuri lakini Brazil jana walipoteana kwenye kiungo.Atleast kipindi cha pili mpira uliamka.Brazil ana kikosi safi lakini kikosi kinakosa kiongozi.Huyu Neymar pia anaikosesha Timu morali
 
Kama Ubelgiji wakinyanyua ndoo Basi Eden Hazard uchezaji Bora wa kombe la Dunia unaweza muangukia
 
Kwanza asingemweka Neymar maana siyo game changer yule mpumbavu anajua kufanya madoido ya kishenzi tu na kudive wakati team inahitaji matokeo.
Asipobadilika hafiki mbali na kipaji chake kitapotea mapema sana hata Robinho wa Brazil walidhani naye atakuja kuwa successor wa Ronadinho hakuwa na mpira wa kijinga kama Neymar, itizame mechi ya kombe la dunia ya mwaka 2010 Brazil alitolewa na Hispania ila Robinho mpira aliyocheza ni mpira wa kazi. Anaonekana kabisa anatafuta goli baada ya Brazil kufungwa.
 
Mbappe atachukua balon d or kabla ya Neymar
 
Mbappe atachukua balon d or kabla ya Neymar
Akiongeza juhudi atakuwa ni tishio kweli lakini kuna wachezaji kama ferminho, Costa wa Brazil, Salaa, Coutinho, Hazard tena hazard ndiyo ulimwengu wake huu kwa sasa. Messi na Ronaldo tayari wameshafikia ukomo, akiweka msuli Tembo atachukua kabla ya hao wote tuliyowazungumzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…