Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Yeah na kombe hili limeonyesha kuwa team work ndiyo msingi wa mafanikio.
Ila Neymar sijui kama atachukua balloon d or
Kama akitumia hili kombe la dunia kama funzo atachukua Ila kama hajajifunza chochote Basi hawezi chukua
 
Neymar ni talented player lakini sio team player kushinda michuano ya tournament kama World cup unahitaji team player kwanza kabla ya yote .
Anaikosa combination nzuri ya kutengeneza mwanya wa kufunga magori kama alivyukuwa akifanya BARCA.
 
Nimesikitika sana sababu umemwacha mbappe kwenye list yako
 

Dah Hazard alikuwa anachanja mbuga kama hana akili...neema akasome kwanza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Nilisema mtapata tabu sana. Poleni jamani poleni sana.

Samba ilikuwa enzi hizo.

Cc. Sesten Zakazaka, Dam55, Super Sub Steve stardust JK bila kumsahau Dada yangu Mie Shunie najua mkeka wako umechanika jamani Dada Polee.
Siku yangu imeharibika kabisa.....nadhani kwangu mimi kombe la dunia ndio limeishia hapo jana. Panapo majaaliwa nitaangalia mechi zilizobaki lakini bila hamasa wala shauku kama ilivyokua mwanzo.
 
Tulipofika hakuna mpira wa ujanja ujanja inatakiwa mtu akaze kweli. Ule mpera mpera wa hazard akiupata huku fella anapoza maandalizi pale kati kwa hakika Belgium walistahili.

BElgium walistahihili kushinda..kwanza hawakutumia nguvu kubwa..alafu sio ule mchezo wao tuliouzoea,,wamecheza kama wapo mazoezini tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…