Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Yeah na kombe hili limeonyesha kuwa team work ndiyo msingi wa mafanikio.
Ila Neymar sijui kama atachukua balloon d or
Kama akitumia hili kombe la dunia kama funzo atachukua Ila kama hajajifunza chochote Basi hawezi chukua
 
Neymar ni talented player lakini sio team player kushinda michuano ya tournament kama World cup unahitaji team player kwanza kabla ya yote .
Anaikosa combination nzuri ya kutengeneza mwanya wa kufunga magori kama alivyukuwa akifanya BARCA.
 
Akiongeza juhudi atakuwa ni tishio kweli lakini kuna wachezaji kama ferminho, Costa wa Brazil, Salaa, Coutinho, Hazard tena hazard ndiyo ulimwengu wake huu kwa sasa. Messi na Ronaldo tayari wameshafikia ukomo, akiweka msuli Tembo atachukua kabla ya hao wote tuliyowazungumzia.
Nimesikitika sana sababu umemwacha mbappe kwenye list yako
 
Kiukweli Neymar uchezaji wake hauna madhara angalia hazard akishika mpira ni full pressure kwa Brazil na hapokonywi mpira kizembe. Ukija kwa neymar huyu kinyume chake kabisa mpira anapokonywa kiulaini kabisa yaani hana madhara hata chembe ila kipaji anacho kuliko hata hazard mwenyewe. Tatizo hana consciousness ya kusoma wakati kwenye match na timu inahitaji nini.

Dah Hazard alikuwa anachanja mbuga kama hana akili...neema akasome kwanza 😀😀😀
 
Nilisema mtapata tabu sana. Poleni jamani poleni sana.

Samba ilikuwa enzi hizo.

Cc. Sesten Zakazaka, Dam55, Super Sub Steve stardust JK bila kumsahau Dada yangu Mie Shunie najua mkeka wako umechanika jamani Dada Polee.
Siku yangu imeharibika kabisa.....nadhani kwangu mimi kombe la dunia ndio limeishia hapo jana. Panapo majaaliwa nitaangalia mechi zilizobaki lakini bila hamasa wala shauku kama ilivyokua mwanzo.
 
Tulipofika hakuna mpira wa ujanja ujanja inatakiwa mtu akaze kweli. Ule mpera mpera wa hazard akiupata huku fella anapoza maandalizi pale kati kwa hakika Belgium walistahili.

BElgium walistahihili kushinda..kwanza hawakutumia nguvu kubwa..alafu sio ule mchezo wao tuliouzoea,,wamecheza kama wapo mazoezini tu.
 
Back
Top Bottom