Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama akitumia hili kombe la dunia kama funzo atachukua Ila kama hajajifunza chochote Basi hawezi chukuaYeah na kombe hili limeonyesha kuwa team work ndiyo msingi wa mafanikio.
Ila Neymar sijui kama atachukua balloon d or
Hahahaa. LolSasa hivi nimehamia Ufaransa
Anaikosa combination nzuri ya kutengeneza mwanya wa kufunga magori kama alivyukuwa akifanya BARCA.Neymar ni talented player lakini sio team player kushinda michuano ya tournament kama World cup unahitaji team player kwanza kabla ya yote .
Nimesikitika sana sababu umemwacha mbappe kwenye list yakoAkiongeza juhudi atakuwa ni tishio kweli lakini kuna wachezaji kama ferminho, Costa wa Brazil, Salaa, Coutinho, Hazard tena hazard ndiyo ulimwengu wake huu kwa sasa. Messi na Ronaldo tayari wameshafikia ukomo, akiweka msuli Tembo atachukua kabla ya hao wote tuliyowazungumzia.
EngLand ndo itaingia fainal na ubeljijiEngland leo inatolewa
Akhui bado nipo niombee duaai mimi England team au umesahau?
sisi Three Lions tupo underrated sana since michuano inaanza lakini taratibu mpaka fainali hatuna mbwembwe kama ilivyozoelekaEngland leo inatolewa
argentina yako vp mbona tangu itolewe huishambulii
England ipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wamechinjwa
Kiukweli Neymar uchezaji wake hauna madhara angalia hazard akishika mpira ni full pressure kwa Brazil na hapokonywi mpira kizembe. Ukija kwa neymar huyu kinyume chake kabisa mpira anapokonywa kiulaini kabisa yaani hana madhara hata chembe ila kipaji anacho kuliko hata hazard mwenyewe. Tatizo hana consciousness ya kusoma wakati kwenye match na timu inahitaji nini.
Siku yangu imeharibika kabisa.....nadhani kwangu mimi kombe la dunia ndio limeishia hapo jana. Panapo majaaliwa nitaangalia mechi zilizobaki lakini bila hamasa wala shauku kama ilivyokua mwanzo.Nilisema mtapata tabu sana. Poleni jamani poleni sana.
Samba ilikuwa enzi hizo.
Cc. Sesten Zakazaka, Dam55, Super Sub Steve stardust JK bila kumsahau Dada yangu Mie Shunie najua mkeka wako umechanika jamani Dada Polee.
Wadau wangu Brazil samba m'metoka mapema duuh.
Wee acha tu mkuu, ni majangaWadau wangu Brazil samba m'metoka mapema duuh.
Tulipofika hakuna mpira wa ujanja ujanja inatakiwa mtu akaze kweli. Ule mpera mpera wa hazard akiupata huku fella anapoza maandalizi pale kati kwa hakika Belgium walistahili.