shin gun wook
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 995
- 1,514
wamebaki ufaransa na ubelgiji tu kwa mpira mzuriZimebaki timu za kijinga.... tusitegemee kuona mpira wa kueleweka labda ufaransa kidogo.
Ndio magoli yao hawa England, hapa mwendo kona, jaro hamna kingine cha ziada.
Football is coming home...
Semi Final against who?
Maguire
Ubao unasomekaje mkuuall the best
Sio kwa mpira huu. Wanaweza fika fainali kwa jinsi upande wao ulivyo mwepesi ila watakayekutana nae fainali, france au belgium ni too much kwao na bahati mbaya mechi zote za kombe hili hawajapata experience ya kucheza na timu kubwa.
Tumehamia hukuKama mtu timu yako Brazil ilishaondoshwa kwenye michuano hii ni vyema ukajitoa kwenye huu uzi!!....nashangaa bado mpo humu!!
Zimebaki timu za kijinga.... tusitegemee kuona mpira wa kueleweka labda ufaransa kidogo.
Duh... hatari sana
"Don't just work hard, work smart"
I take it. Croatia watu wanambeza ila ni timu nzuri sana!Croatia kama akipita na Russia, yyt atakayepita hapa lazima Croatia ampasue.
England ni taifa la kawaida ktk soka. PR yao inalazimisha tuwaone wakubwa. Timu kubwa unapozikutanisha zenyewe kwa zenyewe lazima zingine zitoke. Haiwezekani timu karibu sita zilizo ktk top ten ya fifa ranking ziwekwe ktk mazingira ya kukutana zenyewe kwa zenyewe!Mkuu kama hizo "Timu kubwa" zimeshatolewa kwenye mashindano haya, kwanini tusizipe sifa zake hizi "Timu ndogo" kwa kufika hatua hii
Kwa mujibu wa fanatics wa England wanasema sio kufika fainali tuu, ila mwaka huu ni wao
Mkuu hivi England ni "Timu ndogo" ?
Anaudhi huyo we subiri tuSterling namuelewa sana leo
Nawaona wanaitafuta barabaraHawa Sweden wameanza kupak bus mapema hivi dah!
I take it. Croatia watu wanambeza ila ni timu nzuri sana!
Ikitolewa tuzo ya waliokosa magoli mengi Sterling anachukua.Sterling bonge la kilazer, kiwango cha standard gauge.
Huyo mwendawazimu, kisha wanyima wenzake goli, sababu ya uchoyo wake.Sterling namuelewa sana leo
England ni taifa la kawaida ktk soka. PR yao inalazimisha tuwaone wakubwa.