Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Sio kwa mpira huu. Wanaweza fika fainali kwa jinsi upande wao ulivyo mwepesi ila watakayekutana nae fainali, france au belgium ni too much kwao na bahati mbaya mechi zote za kombe hili hawajapata experience ya kucheza na timu kubwa.

Mkuu kama hizo "Timu kubwa" zimeshatolewa kwenye mashindano haya, kwanini tusizipe sifa zake hizi "Timu ndogo" kwa kufika hatua hii

Kwa mujibu wa fanatics wa England wanasema sio kufika fainali tuu, ila mwaka huu ni wao

Mkuu hivi England ni "Timu ndogo" ?
 
Kama mtu timu yako Brazil ilishaondoshwa kwenye michuano hii ni vyema ukajitoa kwenye huu uzi!!....nashangaa bado mpo humu!!
Tumehamia huku
Screenshot_20180707-162059.jpg
 
Mkuu kama hizo "Timu kubwa" zimeshatolewa kwenye mashindano haya, kwanini tusizipe sifa zake hizi "Timu ndogo" kwa kufika hatua hii

Kwa mujibu wa fanatics wa England wanasema sio kufika fainali tuu, ila mwaka huu ni wao

Mkuu hivi England ni "Timu ndogo" ?
England ni taifa la kawaida ktk soka. PR yao inalazimisha tuwaone wakubwa. Timu kubwa unapozikutanisha zenyewe kwa zenyewe lazima zingine zitoke. Haiwezekani timu karibu sita zilizo ktk top ten ya fifa ranking ziwekwe ktk mazingira ya kukutana zenyewe kwa zenyewe!
Poor planning ya fifa. Baadhi ya mechi zimekuwa sio za kiwango cha kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom