Russia World Cup 2018: France crowned World Champions after defeating Croatia 4-2

Hivi waliopanga yale makundi walikuwa wametafuna bhange au?

Mbona mechi za upande mwingine huwa kali na za kuvutia ila hizi za England zimepooza namna hii?
Seriously nimeanza kuangalia mpira baada ya dkk ya 15 maana nilijua tu unaboa,nimefika imebidi nichati tu nashangaa HT!
 


Croatia ndio itakuwa mwisho wa England, hizi dodging za FIFA ndio zitafikia ukingoni
 
Taja game ngumu England aliyokutana nayo.
 
Kweli kabisa,upande huu wa England na Sweden haujachangamka kabisa
 
Uwanja umeinama, mpira unachezwa upande mmoja.
 
Njia aliyopita Liverpool mpaka anafika fainali za Champions league, ndio hiyo hiyo inapitia timu yao ya taifa. Hii ni kampeni ya kuirudisha England kwenye ramani ya football.

Dah Mkuu kwahiyo FIFA/UEFA wanashirikina na England kufanya upendeleo?

cc Malafyale rubaman
 
Kuna commentator kasema: it is frustration game to watch!! kisa huyu dogo[emoji28][emoji28][emoji28]
Andy Townsend ma Dwight York wamenoreka lweli ma hii gemu nao, hasa sweeden kuwa wanacheza mpira wa kiwango kibovu kabisa.
 
Upande ulikuwa safi sema timu nzuri zilicheza pumba Spain kutolewa na Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…